Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

There is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshima

Kosa kubwa ni mwanamke kupigana na mchepuko wa mume,naona kama unazidi kujishushia heshima, ni busara kudeal with your huband and not his side chick. Na pia hakuna sababu ya kutoana toho au kutumiana wahuni,kama mtu unaona yamekushinda,leave the toxic marriage and start a new page
Wanandoa wengi hasa wanaume wamekuwa wakilalamika humu jf na mitandaoni kuwa hawapewi tendo la ndoa pale wanapohitaji kwa wakati na wake zao hili uoni kuwa linaweza likawa sababu ya kucheat sometimes tusikariri eti wanaume wote wana hulka ya kutoridhika
 
Yaani wakati mwingine kutoshirikisha akili kunaharibu maisha yako na ya watu wengine. Sijui huyo aliyewatuma alikuwa anawaza nini? Bado watu wana mapenzi ya kishamba sana.

Ukiona haukuthamini just move on. Maisha ni zaidi ya kumganda mtu ambaye zi ajabu mapenzi yalisha expire zamani.

Wako wanaume na wanawake wengi tu duniani , itampata tu wa kuendana naye.

Maamuzi ya kijinga na ya kikatili. Huko waliko hawana amani sababu wanajua ni kifungo cha maisha. Yaani mbususu au dushe likupeleke maisha jela? Hapana aisee. Maisha ni zaidi ya hayo.
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom