Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Unataka kavideo ka mgegedoo!!🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kavideo ka mgegedoo!!🤔🤔
Wanandoa wengi hasa wanaume wamekuwa wakilalamika humu jf na mitandaoni kuwa hawapewi tendo la ndoa pale wanapohitaji kwa wakati na wake zao hili uoni kuwa linaweza likawa sababu ya kucheat sometimes tusikariri eti wanaume wote wana hulka ya kutoridhikaThere is no justification in cheating dearest, ukisema utafute chanzo wakati mwingine wala hutakipata, wanaume wameumbwa as polygamist in nature kwa hiyo hata uwe mwanamke perfect and a half bado watacheat sema its more painful anapokucheat wazi au ukagundua, nyumba inakua haina heshima, afanye tu huko ila anaporudi nyumbani kunakua na heshima
Kosa kubwa ni mwanamke kupigana na mchepuko wa mume,naona kama unazidi kujishushia heshima, ni busara kudeal with your huband and not his side chick. Na pia hakuna sababu ya kutoana toho au kutumiana wahuni,kama mtu unaona yamekushinda,leave the toxic marriage and start a new page
Uko sahihi kabisaYaani wakati mwingine kutoshirikisha akili kunaharibu maisha yako na ya watu wengine. Sijui huyo aliyewatuma alikuwa anawaza nini? Bado watu wana mapenzi ya kishamba sana.
Ukiona haukuthamini just move on. Maisha ni zaidi ya kumganda mtu ambaye zi ajabu mapenzi yalisha expire zamani.
Wako wanaume na wanawake wengi tu duniani , itampata tu wa kuendana naye.
Maamuzi ya kijinga na ya kikatili. Huko waliko hawana amani sababu wanajua ni kifungo cha maisha. Yaani mbususu au dushe likupeleke maisha jela? Hapana aisee. Maisha ni zaidi ya hayo.
Hahahahaha, wakaweka na ile Ngoma sijui ya msanii gani...Sio Mdada wa Kazi, katembea na mume wa mtu , mwenye mumewe ndio mwanajeshi ndio kawatuma Hao wamkomeshe asiendelee kutembea na mume wake....
Basi nimeghairi inaonekana inatisha🤔🌚Unataka kavideo ka mgegedoo!!
Mume wa mtu SumuI
Inadaiwa aliiba mume wa mtu, mkewe kugundua ndiyo katengeneza huo unyama. Wanawake baadhi makatili sana
Na mimi pia usinisahauSawa😃
Si nasikia huwez kupakomoa kule.. mnaoona huruma mnatumia vigezo gan? Na watoto wa uswahilin wamelanduka kwelikweli
Haitishi, inasikitishaBasi nimeghairi inaonekana inatisha🤔🌚
Ebu mkuu nitumie15yrs nyonyo zimelala vile?ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
nimeona zinaruka ruka kabisa aisee mbona hili nalo ni janga
Tangu jana naona pipo zinacomment kuhusu huu ufirauni, ukiomba video wanadai hawajaiona.Sawa😃
Mmoja ni pte form 4. So huyu probably alikuwa muhuni toka enzi… maana picha zinaonyesha anavuta sigaraBasi nimeghairi inaonekana inatisha🤔🌚