Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakijirudia ya UKUTA itanilazimu kubaki mtazamaji
Hatupaswi kurudi nyuma kwa sababu yoyote Ile isipokuwa watekeleze matakwa yaliyoamuliwa na chama
Wakuwajibika wawajibike na wanaowashikilia kinyume cha Sheria na wenyewe wawaachie
Tofauti na hapo tukutane tarehe 23
Mbona juzi juzi tu tumefanya maandamano ya AMANI Nchi nzima.Kwa mawazo yako ulitegemea watakuruhusu?
Kwani hata ya Mbeya juzi tu, tayari tulishasahau?
Nchi hii haina demokrasia kabisa.Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA, ambayo yalikuwa yamepangwa kufanyika Septemba 23 katika jiji kuu la kibiashara, Dar es Salaam. Marufuku hiyo imetolewa kwa lengo la kudumisha amani na usalama wa wananchi.
Misime aliongeza kwamba hatua hii imechukuliwa kwa sababu baadhi ya viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakipanga mikakati ya kuchochea vurugu nchini, hali ambayo inaleta hatari kwa amani ya nchi. Alisema kuwa mara kadhaa serikali imeagiza kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini walipo wanachama waliodaiwa kupotea, lakini baadhi ya watu wanaendelea kutoa mipango inayolenga kuharibu amani.
Soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
"Kwanini wanataka kututoa kwenye reli hatua za kiupelelezi zinazoendelea baada ya Rais Samia Suluhu kuagiza kufanyika kwa uchunguzi, mara kadhaa viongozi na wafuasi wamekuwa wakipanga na kuratibu mikakati mbalimbali na kutoa mipango yenye lengo la leta vurugu nchini ili kuharibu amani ya nchi yetu kwasababu zao wenyewe, kutokana na taarifa hiyo jeshi la polisi nchini limepiga marufuku kuacha kuendelea kuhamasisha kujihusisha katika uhalifu huo"
Mbona juzi juzi tu tumefanya maandamano ya AMANI Nchi nzima.
Jeshi la polisi ni zaidi ya kwuma. Kwani maandamano ni uhalifu? Sijawahi kusikia kauli ya kipumbavu kama hii iliyotolewa na jeshi la poliCCM. Mbona CCM wakitaka kuandamana hawaulizwi? Wapuuzi wakubwa mbwa koko!Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime, ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyoan
Mbeya lilikuwa Kongamano.Kwani ya juzi hapa Mbeya umesahau ilikuwa je?
Mbeya lilikuwa Kongamano.
Sawa!Sawa
Lakini angalao walitoa sababu lakini haya Maandamano ni ya AMANI hawajatoa sababu zozote.Kwa hiyo unadhani ilikuwa halali kulizuia?
Lakini angalao walitoa sababu lakini haya Maandamano ni ya AMANI hawajatoa sababu zozote.
Subiri trh 23Ningependa kutoa pongezi za dhati kwa Jeshi la Polisi la Tanzania kwa kazi kubwa, ya kujitolea na ya weledi wanayoendelea kufanya katika kulinda usalama wa raia na mali zao. Kwa muda mrefu sasa, jeshi letu limekuwa mstari wa mbele kuhakikisha amani inatawala, huku likidhibiti magenge ya kihalifu na kuleta utulivu katika maeneo mengi nchini. Hii ni kazi ya kijasiri inayohitaji maarifa, nidhamu, na moyo wa kujitoa kwa ajili ya taifa. Kupitia juhudi hizi, raia wanapata fursa ya kuishi kwa amani, kufanya shughuli zao za kiuchumi na kijamii bila hofu. Tunatambua kwamba bila usalama hakuna maendeleo, na kwa hili, tunawashukuru sana maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kujitoa kwao usiku na mchana kuhakikisha tunabaki salama. Tunaamini kuwa kwa ushirikiano wa jeshi na wananchi, Tanzania itaendelea kuwa ngome ya amani na utulivu. Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kufanya kwa ajili ya taifa letu! #JeshiLaPolisi #AmaniNaUsalama #Tunawaamini
Watanzania walio wengi wako Bize na Yanga na Simba mtu wa namna hiyo ni kazi sana kumkomboa.Kwa hiyo sasa unapendekeza tubakie kulia lia labda watatuonea huruma?
Hakuna uchunguzi wowote unafanywa na hao wahalifu. Imekuwa ni kawaida ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola kuumiza, kuacha wapinzani na vilema vya maisha, hata vifo kisha polisi kujifanya wanafanya uchunguzi bila kutoa majibu. Kwa sasa uvumilivu umefikia mwisho. Cdm wafanye kama walivyofanya wamasai ili wawapate wanachama wao. Kuendelea kutegemea hao watuhumiwa kutoa taarifa ni kujidanganya.Chadema,hekima ni kusubiri upelelezi ukamilike, muone nini kimeletwa mezani, tukijadili tuone!
Kwahiyo hawafanyi kazi mpaka raisi atoe kauli ya kuwatuma. Ndio maana policcm hawapo kwaajili ya kuwalinda wananchi kiujumla bali kwa kukilinda chama cha majambazi(ccm)Chadema watulize vishundu kwanza mamlaka zifanye kazi yake. Hata wangeandamana miezi mwisho wa siku ni haohao Polisi watakaotakiwa kutafuta na kukamata watuhumiwa na ni hizohizo Mahakama za Tanzania ambazo wanadai hawaziamini zitakazoshughulikia.
Waache siasa kwenye sheria