Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Polisi washapata kisingiziomdude apewe haki yake ya kuandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi washapata kisingiziomdude apewe haki yake ya kuandamana
Mijamaa itatumia hii kesi Kama reference, ila mdude mbishi yule
Maigizo tupuPolisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandari
Polisi Tanzania inabidi itambue kuwa kuandamana Ni takwa la kisheria ,na si utashi wowote wa mtu au taasisi kuamua lini na Nani aandamane ikiwa maandamano ni ya amani
Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake
Wakumbuke kuwa kutetea rasilimali ya nchi ipo kwa mujibu wa sheria
Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake[emoji419][emoji375]Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandari
Polisi Tanzania inabidi itambue kuwa kuandamana Ni takwa la kisheria ,na si utashi wowote wa mtu au taasisi kuamua lini na Nani aandamane ikiwa maandamano ni ya amani
Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake
Wakumbuke kuwa kutetea rasilimali ya nchi ipo kwa mujibu wa sheria
Polisi hawana wanaye mwogopa hebu muulize mbowe akupe jibu.
USSR
Kwani maigizo yalishaisha nchi hii?
Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandari
Polisi Tanzania inabidi itambue kuwa kuandamana Ni takwa la kisheria ,na si utashi wowote wa mtu au taasisi kuamua lini na Nani aandamane ikiwa maandamano ni ya amani
Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake
Wakumbuke kuwa kutetea rasilimali ya nchi ipo kwa mujibu wa sheria
Mkuu hatuna vyama vya upinzani nchi hii!!Maandamano wamezuiwa ccm lkn chadema mnateseka, chadema hamjawahi kumiliki akili
[emoji1787][emoji1787]Halafu wewe utakuwa umejifungia chumbani kwa mbowe unaandamana nyuma ya keyboard.
Lini tumeandamana kuhusu migodi yetu na kuhanikiza "mzungu arudi kwaooooo"[emoji1787][emoji1787]Lazima tuandamane tukiimba "Mwarabu arudi kwao atuachie bandari yetu"
Tunasubiri tamko la mwenyekiti wetu.....Jeshi letu linaongozwa na watu wenye upeo mdogo sana. Kwa kupanga hii mbinu chafu yenye lengo la kufanya kitendo kilicho kinyume cha katiba, kwa upeo wao mdogo walio nao, wanaona wametumia mbinu ya akili kubwa sana, kwa sababu ndipo upeo wao unapoishia.
Polisi na huyo mwenyekiti wa UVCCM, watambue kuwa wananchi wana akili zaidi yao maradufu, vimbinu vya kijinga kama hivyo havina msaada wowote.
Wanaopinga uwekezaji wametutia Moto.....tumeamua kuandamana na hatumsikilizi mtu....kama mabomu ya machozi tupigwe tu.. .haiwezekani watu wachache wakapotosha maslahi ya umma......Mlezi wa UVCCM TAIFA ni Nani???
Katibu mkuu wa CCM TAIFA kuna mahali Hauko sawa , Wewe ni mlezi wa UVCCM , ulikuwa wapi hadi Wanatangaza maandamano haramu!!
Inakuaje Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA hadi anatangaza maandamano nchi nzima alikuwa ameshauriwa na Nani???
UVCCM na polisi wapi na wapi?!!!UVCCM NA POLISI HII WALIPANGA ILI KUONYESHA KUWA UVCCM WAMEZUILIWA MAANDAMANO BASI WENGINE WAJAO WATAZUILIWA, KITAELEWEKA SOON.
Maandamano yako pale pale trust me.
Unadanganya kweupeee.....Polisi na UVCCM walipanga maandamano na UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike 18,07,2023 na baadaye Polisi watangaze maandamano yamefutwa ili kuhadaa UMMA WA WATANGANYIKA.
Kama zilivyo mbinu chafu za mh.Mbowe kuuhadaa umma dhidi ya maslahi mapana ya uwekezaji bandarini ?!!!CCM wanatumia mbinu nyingi sana sana Ili mkataba wa kihuni upate na ufanikiwe.
WATANGANYIKA TUSIKUBALI HATA KIDOGO
Tunasubiri tamko la mh.mwenyekiti wetu komredi Kawaida....akisema tusongeshe tunaandamana kuufahamisha umma umuhimu wa uwekezaji bandari..... tumejiandaa kuchapwa mabomu ya machozi....Ngoja tuone.