peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwarabu lini akawa wa kuaminika?, tunasemajeeeee - ANAONDOKA na kama unampenda basi ondoka naye.Lini tumeandamana kuhusu migodi yetu na kuhanikiza "mzungu arudi kwaooooo"[emoji1787][emoji1787]
Shuleni tunakwenda kusomea upumbavu ?!!![emoji1787]
Hao vijana hawakuwa na Mpango wowote wa kuandamana Ila huo mpango wa kuwazuia vijana wanaopinga huo mkataba.Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa.
Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii.
My take,
Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba MDUDE asiweze kufanya maandamano ya vijana nchi mzima kupinga mkataba wa bandari
Polisi Tanzania inabidi itambue kuwa kuandamana Ni takwa la kisheria ,na si utashi wowote wa mtu au taasisi kuamua lini na Nani aandamane ikiwa maandamano ni ya amani
Mdude chadema anataka kufanya maandamano ya amani, kwa kile anachoona kuwa rasilimali ya nchi inataka kupotea kiraisi, naomba jeshi letu la polisi liheshimu nia yake
Wakumbuke kuwa kutetea rasilimali ya nchi ipo kwa mujibu wa sheria
Acha matusi. Wewe Nani kakutukana? Unajifanya special kwa lipi?Bogus kwenye ubora wako
Huna haki ya kunifukuza nyumbanu kwetu...mzee unajionaje ?!!!mwarabu lini akawa wa kuaminika?, tunasemajeeeee - ANAONDOKA na kama unampenda basi ondoka naye.