Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

uwekezaji pale bandarini ukizihusisha nchi mbili Tanzania na UAE umepamba moto huku CCM ikijiapiza kuandamana kuunga mkono hoja .Tumeona pia wana harakati wakiitwa police kuhojiwa kujieleza kuhusiana na walikchokisema kuuhusu mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World.

CCM mkiandamana mjue na wapinzani na wanaojiita wazalendo watandamana. police itoe haki ya maandamano kwa wote
 
Lini tumeandamana kuhusu migodi yetu na kuhanikiza "mzungu arudi kwaooooo"[emoji1787][emoji1787]

Shuleni tunakwenda kusomea upumbavu ?!!![emoji1787]
mwarabu lini akawa wa kuaminika?, tunasemajeeeee - ANAONDOKA na kama unampenda basi ondoka naye.
 
Hao vijana hawakuwa na Mpango wowote wa kuandamana Ila huo mpango wa kuwazuia vijana wanaopinga huo mkataba.

Huo ni mkakati
 
mwarabu lini akawa wa kuaminika?, tunasemajeeeee - ANAONDOKA na kama unampenda basi ondoka naye.
Huna haki ya kunifukuza nyumbanu kwetu...mzee unajionaje ?!!!

Una "obssessions" na hao WAARABU ?!!!

DUNIANI watu wote hawaaminiki....linaloaminika ni "deal tu" [emoji1787]

Wangekuwa hawaingii "madeal" wasingeuza mafuta ,gesi na kupewa kuandaa KOMBE LA DUNIA kule Qatar....wewe utakuwa una akili nyingi na "UZALENDO" kuliko wazungu wa FIFA....[emoji1787]

Shule tunakwenda kusomea upumbavu?!![emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…