Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi

Screenshot_20240908-193957_1.jpg

Soma Pia:
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi View attachment 3090505

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas shut up yor bakuli! shut up your bakuli!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi View attachment 3090505

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We endelea kuleta mzaha na uhai wa watu,hapo ulipo umepata burdannn siyo

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi View attachment 3090505

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nabubujikwa tu hapa
 
Atakaetoa taarifa hatarudi nae
 
Dah aisee yaani kiumbe hai yeyote akija kwako na kujitambulisha polisi na anataka kukukamata yaani ni marufuku kabisa hata kuongea naye yaani pambana muuane hapo hapo. Yaani hata kusimamishwa na polisi kama una gari sehemu y porini aisee usisimame kabisa
 
Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?
Lucas Kulikuwa na Haja gani ya kuongeza Haya Maneno uliyoandika hapa chini?

Je, Fikiria kibao angekuwa Ni mzee Wako, Pia ungeandima Hivyo??
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
 
Nak
Kwani nimefanya kosa lipi kuweka taarifa zilizotolewa na jeshi la polisi? Mimi nimewasilisha taarifa kama ilivyo pasipo kuongeza neno lolote lile
Nakwambia shut upu! Watu wana hasira, acha ujinga. Usilete upuuz kutoka polisi! Hujui ksho yako, Mungu si mnafiki ujue! Watu wanaomboleza wewe unaleta ujinga wa polisi!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hii ndio taarifa ya jeshi la polisi View attachment 3090505

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kutoa Kejeli, lakini Iko siku Mtajuta
Kwanza nitoe pole sana kwako binafsi na chama chote cha CHADEMA kwa tukio hilo la kumpoteza kiongozi wenu.najuwa maumivu yake.poleni sana katika hilo.inaumiza kwa binadamu yeyote mwenye moyo wa nyama.pole sana ndugu yangu Erythrocytes kwa kifo cha kiongozi wenu.
 
Back
Top Bottom