Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Kosa langu ni lipi katika kuwasilisha taarifa ya jeshi la polisi? Vipi kama taarifa hiyo ingetolewa na kuletwa na mtu mwingine? Acha chuki zako binafsi
Inawasilisha au unafanya kejeli ?
Wahanga wa haya mambo tunaumia sana. Usiunge mkono uovu leo kwa vile haukuathiri moja kwa moja, pengine kesho inaweza kuwa zamu yako.!!
 
Kazi ya upolisi ni laana.mzee kama huyo Kwa kumwangalia tu usoni unaona kabisa huyu ni raia mwema kabisa lakini polisi wakamshusha kwenye basi mbele ya watu na gari zao zimeandikwa polisi Lakini Kwa Sasa wanasema wanafatilia ili kuwajua hao watekaji na wauwaji!
 
😂😂😂.unajua hawa wajinga wanachekesha sanaa.inabidi tu nicheke.samia wanakuchezea hawa
 
CCM hatuungi mkono Vitendo vya mauaji.ndio maana Chama kimelaani tukio hilo na hata serikali.ndio maana Mheshimiwa Rais ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo la mauaji.
Unaelewa kiswahili kijana?
 
Dah aisee yaani kiumbe hai yeyote akija kwako na kujitambulisha polisi na anataka kukukamata yaani ni marufuku kabisa hata kuongea naye yaani pambana muuane hapo hapo. Yaani hata kusimamishwa na polisi kama una gari sehemu y porini aisee usisimame kabisa
KWANGU MIMI BORA WANIUE HAPO HAPO LAKINI HAKUNA POLISI ANATAKYE NIKAMATA NA KUNIPELEKA HATA KAMA ANA BUNDUKI
 
Mie akili yangu inanituma kabisa kuwa Mama anahujumiwa na wahuni sio aina ya mfumo ambao Rais amekuwa akihubiri na kuuishi huu. Mama pls chukua hatua
 
Hivi kweli watu wanaojiita polisi wasimamishe basi, wampige mtu pingu na kushuka nae, kisha polisi waseme wanafuatilia, leo amekutwa ameuawa, polisi wanasema wanafanya uchunguzi. Wanaanzaje kujichunguza. Ni heri wakae kimya tu kama walivyofanya kwa wengine. Karma will revange.
 
Ngoja tusubiri ripoti ya uchunguzi kama ilivyoagizwa na Mheshimiwa Rais.poleni sana kwa msiba huu na kifo hiki cha kusikitisha
 
Aisee vitu vingine hata kama ni njaa tusiwe na kejeli, imagine familia ya huyu baba inakutana na thread kama hii, 🥲🥲🥲🥲
 
1725815827251.png
 
Back
Top Bottom