Mpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.
Bora wewe ulitoa nafasi CHADEMA wamzike ba kumuomboleza mzee Kibao.
Huyu unayemtetea tangu kutekwa kina Sativa anasema zile testimony anazotoa ni hoax na hata hajawahi kuguswa kupotea kwa kina Soka. Last two weeks aliweka uzi hapa akisema ni bora SATIVA atekwe tena na nduguze wasihangaike kumtafuta (ule uzi ukafutwa haraka na mods baada ya sisi wachangiaji kuomba iwe evidence). Huyu mtu kila nukta ya maelezo yake ni kejeli kwa wahanga na wapenda amani.
Boldly,
Lucas Mwashambwa is disgrace at these times😀