Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Watawatengeneza waganga ili ionekane ndio wauaji, baadaye watawatoa.

Hawa watu ni mashetani. Wakati wote wanawaza na kupanga uovu.

Rest in peace Ali. Our Almighty Lord, let Ali's blood be on the murderers and their descendants, our Lord we pray.
Wauaji now wapo location wanatengeneza libongo movie ili kuja kusema hawa ndo wahusika ila najua watasahau tu script maana damu ya mtu nzitooo
 
Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?
Sio chuki, Afande Misiime ameshatoa taarifa, na ni ya kusikitisha, Sasa wewe Kwa nini unaweka ushabiki!?:
 
Shemeji Lucas najua ni Chawa Kunguni Kupe wa CCM hata hii umeileta kiuchawa kusifu kazi za Mama anatosha 2025 ungeiweka tu bila kuongezea maneno yako ya kichawa ephen_ baby wako kazingua uwe unamtia mikonzi kwenye komwe lake 😂
kaongeza lake lipi post #1?
 
Wewe ni mwenezi wa polisi au tujue mwenzetu umejipa jukumu jipya ndani ya kikosikazi?
kwani yeye ndio wa kwanza humu kuweka taarifa?

Wote wanaoleta taarifa ni wenezi wa watoa taarifa hizo? Au imewaminya pabaya taarifa ya polisi?

Sasa nakutaarifu kuwa leo saa nne kamili asubuhi hii, msemaji wa polisi atakuwa mubashara.
 
Waende kwenye basi kwanza waache kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
kwani yeye ndio wa kwanza humu kuweka taarifa?

Wote wanaoleta taarifa ni wenezi wa watoa taarifa hizo? Au imewaminya pabaya taarifa ya polisi?

Sasa nakutaarufu kuwa leo saa nne kamili asubuhi hii, msemaji wa polisi atakuwa mubashara.
Mpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.

Bora wewe ulitoa nafasi CHADEMA wamzike ba kumuomboleza mzee Kibao.

Huyu unayemtetea tangu kutekwa kina Sativa anasema zile testimony anazotoa ni hoax na hata hajawahi kuguswa kupotea kwa kina Soka. Last two weeks aliweka uzi hapa akisema ni bora SATIVA atekwe tena na nduguze wasihangaike kumtafuta (ule uzi ukafutwa haraka na mods baada ya sisi wachangiaji kuomba iwe evidence). Huyu mtu kila nukta ya maelezo yake ni kejeli kwa wahanga na wapenda amani.

Boldly, Lucas Mwashambwa is disgrace at these times😀
 
Acha uongo wako wewe na kuandika kwa hisia tu na chuki zako binafsi
 
Kaongea nini hapo Lucas? Mimi naona kaleta taarifa ya polisi tu, hajaweka lake.
Dada Yangu Faiza Habari?
Post uliyoiona umechelewa Kuiona maana Imekwisha fanyiwa marekebisho baada ya kelele za watu..

Na mimi nilishukuru Yeye kufanya Hivyo maana aliedit..

Hizi ni baadhi ya Quoted za Original Post

Screenshot_20240913_091902_Chrome.jpg

Screenshot_20240913_091842_Chrome.jpg
 
Mpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.

Bora wewe ulitoa nafasi CHADEMA wamzike ba kumuomboleza mzee Kibao.

Huyu unayemtetea tangu kutekwa kina Sativa anasema zile testimony anazotoa ni hoax na hata hajawahi kuguswa kupotea kwa kina Soka. Last two weeks aliweka uzi hapa akisema ni bora SATIVA atekwe tena na nduguze wasihangaike kumtafuta (ule uzi ukafutwa haraka na mods baada ya sisi wachangiaji kuomba iwe evidence). Huyu mtu kila nukta ya maelezo yake ni kejeli kwa wahanga na wapenda amani.

Boldly, Lucas Mwashambwa is disgrace at these times😀
Naunga Mkono Hoja
 
Back
Top Bottom