Wauaji now wapo location wanatengeneza libongo movie ili kuja kusema hawa ndo wahusika ila najua watasahau tu script maana damu ya mtu nzitoooWatawatengeneza waganga ili ionekane ndio wauaji, baadaye watawatoa.
Hawa watu ni mashetani. Wakati wote wanawaza na kupanga uovu.
Rest in peace Ali. Our Almighty Lord, let Ali's blood be on the murderers and their descendants, our Lord we pray.
Ipo siku na wewe utatekwa kisha wakukekete hadharani shetanim hana rafiki.Sawa nashukuru mdogo wangu.
Tuwe na subira ndugu zangu watanzania wakati huu ambao uchunguzi unaendelea juu ya kifo cha mzee AllyIpo siku na wewe utatekwa kisha wakukekete hadharani shetanim hana rafiki.
Wauaji wakubwa nyie mnafikiri mtaishi milele hapa dunianiTuwe na subira ndugu zangu watanzania wakati huu ambao uchunguzi unaendelea juu ya kifo cha mzee Ally
Walioteka bus na kumpiga pingu ndo hao hao waliomtesa. Hawawezi kuwa tofauti na waliomuuaKama unafahamu waliomuua ingekuwa vyema ukatoa ushirikiano na taarifa mahali husika
Mtuhumiwa atajichunguzaje?Tuwe na subira ndugu zangu watanzania wakati huu ambao uchunguzi unaendelea juu ya kifo cha mzee Ally
Sio chuki, Afande Misiime ameshatoa taarifa, na ni ya kusikitisha, Sasa wewe Kwa nini unaweka ushabiki!?:Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaongea nini hapo Lucas? Mimi naona kaleta taarifa ya polisi tu, hajaweka lake.Lucas Kuna Muda Kunyamaza Ni bora zaidi ya Kuongea..
kaongeza lake lipi post #1?Shemeji Lucas najua ni Chawa Kunguni Kupe wa CCM hata hii umeileta kiuchawa kusifu kazi za Mama anatosha 2025 ungeiweka tu bila kuongezea maneno yako ya kichawa ephen_ baby wako kazingua uwe unamtia mikonzi kwenye komwe lake 😂
Wewe ni mwenezi wa polisi au tujue mwenzetu umejipa jukumu jipya ndani ya kikosikazi?
kwani yeye ndio wa kwanza humu kuweka taarifa?Wewe ni mwenezi wa polisi au tujue mwenzetu umejipa jukumu jipya ndani ya kikosikazi?
Mpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.kwani yeye ndio wa kwanza humu kuweka taarifa?
Wote wanaoleta taarifa ni wenezi wa watoa taarifa hizo? Au imewaminya pabaya taarifa ya polisi?
Sasa nakutaarufu kuwa leo saa nne kamili asubuhi hii, msemaji wa polisi atakuwa mubashara.
Acha uongo wako wewe na kuandika kwa hisia tu na chuki zako binafsiMpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.
Bora wewe ulitoa nafasi CHADEMA wamzike ba kumuomboleza mzee Kibao.
Huyu unayemtetea tangu kutekwa kina Sativa anasema zile testimony anazotoa ni hoax na hata hajawahi kuguswa kupotea kwa kina Soka. Last two weeks aliweka uzi hapa akisema ni bora SATIVA atekwe tena na nduguze wasihangaike kumtafuta (ule uzi ukafutwa haraka na mods baada ya sisi wachangiaji kuomba iwe evidence). Huyu mtu kila nukta ya maelezo yake ni kejeli kwa wahanga na wapenda amani.
Boldly, Lucas Mwashambwa is disgrace at these times😀
Dada Yangu Faiza Habari?Kaongea nini hapo Lucas? Mimi naona kaleta taarifa ya polisi tu, hajaweka lake.
Naunga Mkono HojaMpaka namuuliza kuna jambo nimeliona ndani ya hoja zake nyingi.
Bora wewe ulitoa nafasi CHADEMA wamzike ba kumuomboleza mzee Kibao.
Huyu unayemtetea tangu kutekwa kina Sativa anasema zile testimony anazotoa ni hoax na hata hajawahi kuguswa kupotea kwa kina Soka. Last two weeks aliweka uzi hapa akisema ni bora SATIVA atekwe tena na nduguze wasihangaike kumtafuta (ule uzi ukafutwa haraka na mods baada ya sisi wachangiaji kuomba iwe evidence). Huyu mtu kila nukta ya maelezo yake ni kejeli kwa wahanga na wapenda amani.
Boldly, Lucas Mwashambwa is disgrace at these times😀
Alifuta aliongezea yale maneno yake Mama anatosha...kaongeza lake lipi post #1?
FaizaFoxyDada Yangu Faiza Habari?
Post uliyoiona umechelewa Kuiona maana Imekwisha fanyiwa marekebisho baada ya kelele za watu..
Na mimi nilishukuru Yeye kufanya Hivyo maana aliedit..
Hizi ni baadhi ya Quoted za Original Post
View attachment 3094684
View attachment 3094686