Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Fuatulia maandiko yangu yote .usiwe na chuki isiyo na SababuLucas Kulikuwa na Haja gani ya kuongeza Haya Maneno uliyoandika hapa chini?
Je, Fikiria kibao angekuwa Ni mzee Wako, Pia ungeandima Hivyo??
Inawasilisha au unafanya kejeli ?Kosa langu ni lipi katika kuwasilisha taarifa ya jeshi la polisi? Vipi kama taarifa hiyo ingetolewa na kuletwa na mtu mwingine? Acha chuki zako binafsi
Nimefanya vipi kejeli ndugu yangu?Inawasilisha au unafanya kejeli ?
Wahanga wa haya mambo tunaumia sana. Usiunge mkono uovu leo kwa vile haukuathiri moja kwa moja, pengine kesho inaweza kuwa zamu yako.!!
Unaelewa kiswahili kijana?CCM hatuungi mkono Vitendo vya mauaji.ndio maana Chama kimelaani tukio hilo na hata serikali.ndio maana Mheshimiwa Rais ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo la mauaji.
KWANGU MIMI BORA WANIUE HAPO HAPO LAKINI HAKUNA POLISI ANATAKYE NIKAMATA NA KUNIPELEKA HATA KAMA ANA BUNDUKIDah aisee yaani kiumbe hai yeyote akija kwako na kujitambulisha polisi na anataka kukukamata yaani ni marufuku kabisa hata kuongea naye yaani pambana muuane hapo hapo. Yaani hata kusimamishwa na polisi kama una gari sehemu y porini aisee usisimame kabisa
Ameshatoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kumpatia matokeo ya uchunguziMie akili yangu inanituma kabisa kuwa Mama anahujumiwa na wahuni sio aina ya mfumo ambao Rais amekuwa akihubiri na kuuishi huu. Mama pls chukua hatua
Ngoja tusubiri ripoti ya uchunguzi kama ilivyoagizwa na Mheshimiwa Rais.poleni sana kwa msiba huu na kifo hiki cha kusikitishaHivi kweli watu wanaojiita polisi wasimamishe basi, wampige mtu pingu na kushuka nae, kisha polisi waseme wanafuatilia, leo amekutwa ameuawa, polisi wanasema wanafanya uchunguzi. Wanaanzaje kujichunguza. Ni heri wakae kimya tu kama walivyofanya kwa wengine. Karma will revange.
Hivi jambazi anaweza kujichunguza? Acheni usanii kwa maisha ya watuAmeshatoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kumpatia matokeo ya uchunguzi
Tuwe na imani na vyombo vyetu.aliyehusika katika mauaji haya atawajibishwa kwa mujibu wa sheria bila kujali yeye ni nani na katoka wapi.Hivi jambazi anaweza kujichunguza? Acheni usanii kwa maisha ya watu
Lucas sijaanza kukufatilia Leo nakujua Tangu unaanza kuingia Jf nakujua kuanzia Zamani..Fuatulia maandiko yangu yote .usiwe na chuki isiyo na Sababu