Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Yule jamaa sasa anaonekana shujaa pale Selander.
Hamza alifanya vizuri na ipo siku watu watachoka na kuanza lipa kisasi
 
Shemeji Lucas najua ni Chawa Kunguni Kupe wa CCM hata hii umeileta kiuchawa kusifu kazi za Mama anatosha 2025 ungeiweka tu bila kuongezea maneno yako ya kichawa ephen_ baby wako kazingua uwe unamtia mikonzi kwenye komwe lake 😂
 
"شرطة، تعاملوا مع المواطنين الطيبين. وفاة والدنا علي كيبوا مؤلمة جداً. لكننا كعائلة نترك الأمر لله."
 
Tuwe makini inawezekana kuna tumchezo tunachezwa kuchafua image ya uongozi huu
 
Shemeji Lucas najua ni Chawa Kunguni Kupe wa CCM hata hii umeileta kiuchawa kusifu kazi za Mama anatosha 2025 ungeiweka tu bila kuongezea maneno yako ya kichawa ephen_ baby wako kazingua uwe unamtia mikonzi kwenye komwe lake 😂
Nisamehe kama nimekukwaza lakini lengo halikuwa kumkwaza mtu bali kuleta taarifa ili watu wafahamu hatua ambazo jeshi la polisi linaendelea nazo katika tukio la kuuwawa kwa kada wa CHADEMA
 
Poleni sana Wana chadema na familia Kwa ujumla , kwakweli nimeumia sana, Mungu awape faraja na marehemu apumzike kwa amani.
 
Ile sheria mpya ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake. Kwahiyo polisi wanafanya usanii, lakini kinachofanyika kinafahamika na kina baraka za ikulu.
Mmmm mmm
 
Kila lenye mwanzo alikosi mwisho!!
Rest in peace soldier 🙏 🪖.
 
Polisi mkiongea hivyo sasa wavimba macho watasemaje! Mmmm
 
Umiongoni mwa wanaopenda hayo matukio ya kutekwa na kuuliwa viongozi wa chadema. Unafirahi sana kwa sababu unavuta pumzi uliyopewa bure.
 
CCM hatuungi mkono Vitendo vya mauaji.ndio maana Chama kimelaani tukio hilo na hata serikali.ndio maana Mheshimiwa Rais ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo la mauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…