Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #121
SifahamuKina nani waliomuwa mawazo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SifahamuKina nani waliomuwa mawazo?
Ukimuona anarembua macho utafikiri mtuSamia ni INTEREHAMWE
Ni taarifa ya masikitiko
Nisamehe kama nimekukwaza lakini lengo halikuwa kumkwaza mtu bali kuleta taarifa ili watu wafahamu hatua ambazo jeshi la polisi linaendelea nazo katika tukio la kuuwawa kwa kada wa CHADEMAShemeji Lucas najua ni Chawa Kunguni Kupe wa CCM hata hii umeileta kiuchawa kusifu kazi za Mama anatosha 2025 ungeiweka tu bila kuongezea maneno yako ya kichawa ephen_ baby wako kazingua uwe unamtia mikonzi kwenye komwe lake 😂
Ni kweli inasikitisha sana.Poleni sana Wana chadema na familia Kwa ujumla , kwakweli nimeumia sana, Mungu awape na marehemu apumzike kwa amani.
Yaani nilipo ona taarifa jana, taarifa ya leo na tega sikio MUNGU wangu😭😭😭, ila daa MUNGU yupo!Ni kweli inasikitisha sana.
Ile sheria mpya ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake. Kwahiyo polisi wanafanya usanii, lakini kinachofanyika kinafahamika na kina baraka za ikulu.
Mmmm mmmIle sheria mpya ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake. Kwahiyo polisi wanafanya usanii, lakini kinachofanyika kinafahamika na kina baraka za ikulu.
AiseeSamia ni INTEREHAMWE
Kwa aibu kayafuta hayo maneno. Kila linalotendeka gizan kuna siku litakua kwenye hadhara. Hakuna ubabe uliodumu milele.Lucas Kulikuwa na Haja gani ya kuongeza Haya Maneno uliyoandika hapa chini?
Je, Fikiria kibao angekuwa Ni mzee Wako, Pia ungeandima Hivyo??
Umiongoni mwa wanaopenda hayo matukio ya kutekwa na kuuliwa viongozi wa chadema. Unafirahi sana kwa sababu unavuta pumzi uliyopewa bure.Kwanza nitoe pole sana kwako binafsi na chama chote cha CHADEMA kwa tukio hilo la kumpoteza kiongozi wenu.najuwa maumivu yake.poleni sana katika hilo.inaumiza kwa binadamu yeyote mwenye moyo wa nyama.pole sana ndugu yangu Erythrocytes kwa kifo cha kiongozi wenu.
CCM hatuungi mkono Vitendo vya mauaji.ndio maana Chama kimelaani tukio hilo na hata serikali.ndio maana Mheshimiwa Rais ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo la mauaji.