Polisi yasikitishwa na kifo cha kada wa CHADEMA, Ali Kibao. Latoa wito kwa mwenye taarifa za kweli na uhakika awasilishe kwa mujibu wa taratibu

Ngoja tusubiri ripoti ya uchunguzi kama ilivyoagizwa na Mheshimiwa Rais.poleni sana kwa msiba huu na kifo hiki cha kusikitisha
Hiki kikosi cha utekaji na mauaji kipo chini ya ikulu na kinaripoti kwenye ofisi yake moja kwa moja. Hakipo chini ya IGP wala Waziri wa Mambo ya Ndani. Kwa hiyo ana taarifa na updates wakati wote. Kutaka taarifa ni kuwafanya watu hawana akili.
 
Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?

Kosa ni msimamo wako kwamba katika awamu hii hakuna utekaji / kuteswa na kuuawawa kwa watu na hasa wana CHADEMA.
Kunyamaza ni sifa pia.
 
Hiki kikosi cha utekaji na mauaji kipo chini ya ikulu na kinaripoti kwenye ofisi yake moja kwa moja. Hakipo chini ya IGP wala Waziri wa Mambo ya Ndani. Kwa hiyo ana taarifa na updates wakati wote. Kutaka taarifa ni kuwafanya watu hawana akili.
Weka ushahidi wako hapa na siyo kuropoka ropoka
 
Tusije kushangaa Ukisikia waganga wa kienyeji wame kamatwa kuhusiana na kifo cha Kibao. Ndio weledi wa taasisi yetu
Watawatengeneza waganga ili ionekane ndio wauaji, baadaye watawatoa.

Hawa watu ni mashetani. Wakati wote wanawaza na kupanga uovu.

Rest in peace Ali. Our Almighty Lord, let Ali's blood be on the murderers and their descendants, our Lord we pray.
 
Lucas
Lucas
Lucas


Wakishatumaliza sisi, wanakujia wewe.
Endelea kujipaka kinyesi kichwani kujifanya unanata na beat. Uliposikia yule mazeri ameongea kinafiki na wewe unakuja kujifanya unaguswa.

Be wise
 
Familia inamlilia mpedwa wao wewe unaleta mambo yako ya uchawa. Wakati mwingine uwe na busara basi kijana.
 
Uchunguzi gani huo? Alipotekwa hawakufanya lolote! Kwanini wakati huo hawakuomba râia watoe taarifa? Hapo polisi lazıma wawe lawamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…