Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kauli ya wengi ni kauli ya MUNGU.Huyu bwege anajifanay mjuaji sana lakini naye ipo siku yatamfika shetani hana rafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya wengi ni kauli ya MUNGU.Huyu bwege anajifanay mjuaji sana lakini naye ipo siku yatamfika shetani hana rafiki.
Hiki kikosi cha utekaji na mauaji kipo chini ya ikulu na kinaripoti kwenye ofisi yake moja kwa moja. Hakipo chini ya IGP wala Waziri wa Mambo ya Ndani. Kwa hiyo ana taarifa na updates wakati wote. Kutaka taarifa ni kuwafanya watu hawana akili.Ngoja tusubiri ripoti ya uchunguzi kama ilivyoagizwa na Mheshimiwa Rais.poleni sana kwa msiba huu na kifo hiki cha kusikitisha
Mimi nimeweka taarifa ya jeshi la polisi. nimefanya kosa lipi kuweka taarifa hiyo? Au ni wapi nimeongeza maneno yangu? Au unachuki zako binafsi tu?
Weka ushahidi wako hapa na siyo kuropoka ropokaHiki kikosi cha utekaji na mauaji kipo chini ya ikulu na kinaripoti kwenye ofisi yake moja kwa moja. Hakipo chini ya IGP wala Waziri wa Mambo ya Ndani. Kwa hiyo ana taarifa na updates wakati wote. Kutaka taarifa ni kuwafanya watu hawana akili.
Tusije kushangaa Ukisikia waganga wa kienyeji wame kamatwa kuhusiana na kifo cha Kibao. Ndio weledi wa taasisi yetu
Watawatengeneza waganga ili ionekane ndio wauaji, baadaye watawatoa.Tusije kushangaa Ukisikia waganga wa kienyeji wame kamatwa kuhusiana na kifo cha Kibao. Ndio weledi wa taasisi yetu
Mnawateka... Mnawatesa... Mnawaua... Na kulaani mnalaani!Siyo jambo la kawaida na ndio maana tuna laani
Ueleweki kama kyuma yàko we ukichuchumaa ípo chini ukisimama ipo mbele ukiinama ipó nyuma
Kama unafahamu waliomuua ingekuwa vyema ukatoa ushirikiano na taarifa mahali husikaMnawateka... Mnawatesa... Mnawaua... Na kulaani mnalaani!
Sasa mnacholaani ni Nini?
Mungu akusamehe sana maana hujuwi ulitendalo.Ueleweki kama kyuma yàko we ukichuchumaa ípo chini ukisimama ipo mbele ukiinama ipó nyuma
Chawa hawana cha kunyamazia wao no kanyaga twende, ni mwendo wa kusifu na kuabudu tu.Lucas Kuna Muda Kunyamaza Ni bora zaidi ya Kuongea..
Lucas
Sawa nashukuru mdogo wangu.Wewe jamaa una viashiria vya uchawi na ushetani mwingi sana.
Mimi nimeleta taarifa kama ilivyo .sasa kosa langu ni lipi?Familia inamlilia mpedwa wao wewe unaleta mambo yako ya uchawa. Wakati mwingine uwe na busara basi kijana.
wauaji hulia na kugaragara sana msibani, na hujifanya kuwa busy sana na shughuli za msiba