USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mimi thread zangu ni check and balance kati ya Awamu ya Sita na ile ya Tano, leo ngome ya vijana ya ACT wazalendo ilipanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa mama yao kipenzi rafiki wa demokrasia, diplomasia na maendeleo aliyekuja kuwapa uhuru walio ukosa kwa miaka sita ya Magufuli.
Wamekutana na na kukabiliana na polisi wakiwa bado eneo la ofisi zao, polisi walijihami kwa silaha, mabomu, virungu na pingu wakawambia wasithubutu kuvuka eneo lao, yako wapi ya kusema Magufuli alikuwa dikiteta?
USSR
===
Dar es Salaam, Tanzania - Maandamano ya amani yaliyokuwa yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, kuelekea Ikulu kwa Rais Samia Suluhu Hassan, yamekabiliwa na zuio la polisi katika ofisi za chama hicho zilizopo Magomeni Jijini Dar es Salaam leo.
Maandamano hayo yaliyoandaliwa na vijana wa ACT yalilenga kuonesha hisia zao dhidi ya wabadhirifu wa fedha za umma waliotajwa kwenye ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Abdul Nondo, aliongoza maandamano hayo akiwa na vijana wengine.
Hii ni mara ya kwanza kwa vijana wa ACT kufanya maandamano ya aina hii, na tukio hili limezua mjadala mkubwa katika jamii kuhusu suala la ufisadi na uwajibikaji wa watumishi wa umma. Rais Samia Suluhu Hassan hajatoa tamko lolote kuhusu maandamano hayo hadi sasa.