Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?


  • Total voters
    244
Niliwahi kusikia na kusoma Ghadaffi alileta Waarabu wake ili wamsaidie Nduli kwenye vita na Tanzania, lakini nao wakapata mkong'oto wa kufa mtu. Wote tisa 10 ni Baba wa Taifa.
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo...porojo za mitaani hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Ghadafi ni dikteta wakati Mandela ni mpigania Uhuru. kwangu mm Mandela ni shujaa
 
Gadaf yule aliwauwa vijana wetu vita ya Kagera au mwingine au kwasababu kawajengea misikiti ndio kawa shujaa labda shujaa wenu kwangu mimi huyu ni gaidi sawa na Osama.
Tatizo lenu hamkawii kuingilia dini za watu...kwahiyo Mandela pia alijengewa msikiti alivyotamka kumkubali Gadafi kama kiongozi rafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hakuna ubishi. Muamar Gaddafi ni mwamba wa Africa. Hakuna mwenye uwezo wa kufikia viwango vyake. Alisimama kwa ajili ya waafrica
 
GADAFI SHUJAA WA AFRIKA NZIMA
MANDELA SHUJAA WA A.KUSINI PEKEE
Exactly kama ukisoma history vizuri ya viongozi hawa wawili,soo unapoongelea ushujaa kwa africa kwa upande wa Viongozi wetu Mandela didn't cross his Country boundary, he did nothing to Africa
 
ghadaf kafny nn mpk afananishwe na madiba?
ndio moja maraisi wa waliopigana kindaki ndaki kuhakikisha nchi za kiafrika zinabaki kuwa huru kwa jitihada za bila kukoma Afrika na nchi za kiarabu,huwezi kukosa mchango wa ki fedha wa benki yoyote ya kiafrika unayoijua wewe afrika haina mchango wa Gaddafi,Mandela nae hali kadharika alipigana sana hasa kupata ukombozi,ukombozi ulivyopatikana Mandela hakuendelea na mikiki ya kuwahamasisha waafrika kuendelea kujitambua na kujikomboa zaidi,Harakati za Gaddafi ziilikuwa hazina ukomo zilikuwa ni za kudumu kumkomboa na kumpigania mtu mweusi
 
Nahis kilichomnyanyua mandela ni ile hali ya kuteswa na wazungu halafu akawasamehe, ila kiushujaa wa ukombozi naona hata mwalimu nyerere yuko juu.. mandela did nothing to africa, baada ya kumaliza harakat zake nchini kwake akatulia.

Kwangu ni gaddafi
 
..Gadaffi huyu aliyeua askari wetu wakati wa vita vya Uganda?!

..vijana wa siku hizi hebu someni kidogo.

..manaake mnaaibisha kwa kuanzisha thread kama hizi.
Hela ya Qaddafi nzuri inafanya watu wachanganyikiwe. Wengi hawajui jamaa alitupa ultimatum huko Uganda tukamnyoosha.
Madiba kafundisha kusamehe na ka serve one term tu. Waliobaki pamoja na Qaddafi wanataka wafie offisini.
 
..waTz hatupaswi kumsifia mtu aliyetoa roho za askari wetu ktk vita vya Uganda.

..Ndiyo maana vijana wa kiTz mnadharaulika kwasababu mnakurupuka kujadili mambo mazito lakini hamsomi.
Yaani wewe Mkuu unapigia mbuzi gitaa. Hela ya Qaddafi inatuchanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…