Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Ajira huna, hizo nguvu za kulewa unazitoa wapi kaka? πŸ˜‚
 
Ongeza na kingwendu
 
Mie tangu nilipofakamia pombe mix bia na konyagi na kvant nikazima week nzima nakuja kustuka naambiwa eti nilitapika vitu vingi ikiwemo visoda (vizibo vya chupa) sijui nilivimezaje !
Tangia hapo haya mapombe ya kidhungu niliyaacha Siku hizi nakunywa pombe mwitu
 
Ya kweli hayo..??!
Mkuu siongopi, mbona habar za marehemu zimo humu, huyo jamaa Benja alikua mlevi haswaaaa. Yan mlevi kupindukia, sio mnywaji wa kawaida. Muda mwingi alikua Tungi, mpaka aligombana na mwalimu kwa tabia hii baada ya kuitwa msasani kwa mazungumzo af jamaa akafika yuko tungi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Teacher akaenda kumshtaki kwa Pengo. Ziko habar humu
 
So mkuu wewe binafsi ukiondoa kuchakata mbususu/ papuchi ukitaka kufanya relaxation na recreational activities huwa unafanya nini your can share kwa faida ya wengi..
Mkuu mimi bwana hata mbususu sio kiviiiile. Sinaga mambo mengi nje ya kazi. Siwez tu kukaa bila kaz, hata kama nimeshinda home lazima nitakua busy mara hik mara kile, otherwise niko hapa JF
 
Spirt of the nation a.k.a mikono juu🫠
 
View attachment 3002161

Utamu huu hapa, shida sijui kuna feki....ukiamka asubuhi bichwa linauma balaaa
Tofauti ipo kwenye mwonekano wa umbo la shingo za chupa kwa Safari kubwa ya 500ml.hizo chagua aina moja kama yenye shingo yenye ring kubwa ama ring nyembamba,hapo kamwe hutaumwa kichwa,ama kama ni ndogo komaa na ndogo tu,safari ni mambo yote🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…