Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Mimi chochote nakunywa bila kusumbuliwa na hangover ilmradi tu niwe nimekula chakula kinachoendana na pombe kabla ya kuanza kunywa. Bia kunisumbua labda nikichanganya spirit na lager hapo asubuhi ni kivumbi na jasho sema bia ninazo-prefer kunywa mara zote ni serengeti lager na hanson choice zikikosekana izo nagonga yoyote ila kanuni yangu ni kwamba bia nitakayoanza nayo ndio namaliza nayo kwa sababu nikichanganya hangover itasumbua asubuhi.
Ajira huna, hizo nguvu za kulewa unazitoa wapi kaka? 😂
 
Mkuu,
Nyinyi Ni aina ya watu mnao kunywa kiasi kikubwa Cha pombe..

Mfano hiyo Hanson choice uliyo nayo mkononi 750mls unaimaliza kwa siku moja mfano uanze jioni??

Sana Sana kunywa Hanson choice Ile ndogo moja ukizidisha Sana ongeza na nusu..

Watu wa heshima wanywaji wapo wengi tu to mention few mzee sinde warioba, nyerere, mkapa, mbowe, lowassa,msukuma n.k
Hata rais Putin Ni mdau mzur Sana wa hizi spirit & wine
Ongeza na kingwendu
 
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe ni basi tu huwaoni kikiwa kimeumana, wengine hutapika nyongo wengine hakuna chakula kinapanda hata bites au maji tu hayapandi..wengine wanakaa hata siku tatu hajala pampu chafu kisa alifululiza 😂😂😂😂... Kiujumla ni mateso.

Mimi binafsi nilikuwa mnywaji mzuri hakuna aina ya bia au spirit au gin hasa hizi local ambazo sikugusa hakuna za asili ambazo sikugusa, week chache zilizopita nimeamua kuacha ulevi mbwa nitakuwa sinywi Tena pombe ili niokoe FIGO na INI nitakuwa nakunywa damu ya yesu kristo tu yenye kuleta ukombozi(huo ni uongo bhana huo ni uongo) Najua mtabisha kwamba haziachiki ni vile tu Sina hela Kwa sasa 😂 😂 😂 😂..

Katika kuteseka kote huko niliamuaga nijitafute nifanye survey nipate pombe isiyoniumiza isiyonichosha na yenye kunikwangua tumbo maana napenda kula kula sana.
Nikajipata kwenye

1. HANSON CHOICE a. k. a CHAI -hii brand Safi Sana aliyeunda formula yake alituliza akili hii pombe itafika mbali sana nitafutieni marketing manager nimshauri atengeneze chupa zenye shape kama thermos unaweza ukainywa na mandazi pia inapanda.. No hangover kama zile zenye kuchangwanywa na ma ethanol mapombe mengi ya viwandan ni fake wameya duplicate sana .. Hii CHAI niliwahi kufuliliza kunywa mwezi mzima bila kupata athari zozote huku misosi ikipanda kama kawaida.. Ilinifanya Mpaka nikanenepa 😂 😂 😂.

GONGO - Isiwe tu yenye kuchanganywa na mauchafu uzoefu wangu upo kwenye NIPA ya mabibo toka masasi ila isiwe shoka sana ni vema ukamix na MAJI. kupunguza makali. Hii hata nilikuwa naweza kufululiza mwezi mzima halafu fresh tu. Ila sikushauri kunywa On your own risk. Usije kufakamia gongo kama za Tabora huko utaumia

TEMBO (MNAZI). Kuna mzungu mmoja anaipenda sana kila siku anawekewa oda kwenye ubanda fulani hii pombe ina sukari sana hivyo lazima utahisi kushiba uzuri haina hangover haina kemikali imeshushwa kwenye mnazi moja Kwa moja ya asili. Hii mnazi ziko aina mbili kuna ile OG ambayo inashuka kwenye mnazi hapo hapo ila nyingine wanakwenda kuizimua na ya Jana. So usimuone mtu ni Tajiri ila hafakamii mabia ovyo ana kuwa na kapombe chake fulani kanachompa stimu za kula na kasichomtesa sana ila kuteseka huwa ni pie lazima siku moja tu kitaumana.

Je wewe ni bia gani au pombe gani zisizo ondoa appetite yako

Drink responsibly.

View attachment 3001677
View attachment 3001679
Mie tangu nilipofakamia pombe mix bia na konyagi na kvant nikazima week nzima nakuja kustuka naambiwa eti nilitapika vitu vingi ikiwemo visoda (vizibo vya chupa) sijui nilivimezaje !
Tangia hapo haya mapombe ya kidhungu niliyaacha Siku hizi nakunywa pombe mwitu
 
Ya kweli hayo..??!
Mkuu siongopi, mbona habar za marehemu zimo humu, huyo jamaa Benja alikua mlevi haswaaaa. Yan mlevi kupindukia, sio mnywaji wa kawaida. Muda mwingi alikua Tungi, mpaka aligombana na mwalimu kwa tabia hii baada ya kuitwa msasani kwa mazungumzo af jamaa akafika yuko tungi 😂😂😂. Teacher akaenda kumshtaki kwa Pengo. Ziko habar humu
 
So mkuu wewe binafsi ukiondoa kuchakata mbususu/ papuchi ukitaka kufanya relaxation na recreational activities huwa unafanya nini your can share kwa faida ya wengi..
Mkuu mimi bwana hata mbususu sio kiviiiile. Sinaga mambo mengi nje ya kazi. Siwez tu kukaa bila kaz, hata kama nimeshinda home lazima nitakua busy mara hik mara kile, otherwise niko hapa JF
 
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe ni basi tu huwaoni kikiwa kimeumana, wengine hutapika nyongo wengine hakuna chakula kinapanda hata bites au maji tu hayapandi..wengine wanakaa hata siku tatu hajala pampu chafu kisa alifululiza 😂😂😂😂... Kiujumla ni mateso.

Mimi binafsi nilikuwa mnywaji mzuri hakuna aina ya bia au spirit au gin hasa hizi local ambazo sikugusa hakuna za asili ambazo sikugusa, week chache zilizopita nimeamua kuacha ulevi mbwa nitakuwa sinywi Tena pombe ili niokoe FIGO na INI nitakuwa nakunywa damu ya yesu kristo tu yenye kuleta ukombozi(huo ni uongo bhana huo ni uongo) Najua mtabisha kwamba haziachiki ni vile tu Sina hela Kwa sasa 😂 😂 😂 😂..

Katika kuteseka kote huko niliamuaga nijitafute nifanye survey nipate pombe isiyoniumiza isiyonichosha na yenye kunikwangua tumbo maana napenda kula kula sana.
Nikajipata kwenye

1. HANSON CHOICE a. k. a CHAI -hii brand Safi Sana aliyeunda formula yake alituliza akili hii pombe itafika mbali sana nitafutieni marketing manager nimshauri atengeneze chupa zenye shape kama thermos unaweza ukainywa na mandazi pia inapanda.. No hangover kama zile zenye kuchangwanywa na ma ethanol mapombe mengi ya viwandan ni fake wameya duplicate sana .. Hii CHAI niliwahi kufuliliza kunywa mwezi mzima bila kupata athari zozote huku misosi ikipanda kama kawaida.. Ilinifanya Mpaka nikanenepa 😂 😂 😂.

GONGO - Isiwe tu yenye kuchanganywa na mauchafu uzoefu wangu upo kwenye NIPA ya mabibo toka masasi ila isiwe shoka sana ni vema ukamix na MAJI. kupunguza makali. Hii hata nilikuwa naweza kufululiza mwezi mzima halafu fresh tu. Ila sikushauri kunywa On your own risk. Usije kufakamia gongo kama za Tabora huko utaumia

TEMBO (MNAZI). Kuna mzungu mmoja anaipenda sana kila siku anawekewa oda kwenye ubanda fulani hii pombe ina sukari sana hivyo lazima utahisi kushiba uzuri haina hangover haina kemikali imeshushwa kwenye mnazi moja Kwa moja ya asili. Hii mnazi ziko aina mbili kuna ile OG ambayo inashuka kwenye mnazi hapo hapo ila nyingine wanakwenda kuizimua na ya Jana. So usimuone mtu ni Tajiri ila hafakamii mabia ovyo ana kuwa na kapombe chake fulani kanachompa stimu za kula na kasichomtesa sana ila kuteseka huwa ni pie lazima siku moja tu kitaumana.

Je wewe ni bia gani au pombe gani zisizo ondoa appetite yako

Drink responsibly.

View attachment 3001677
View attachment 3001679
Spirt of the nation a.k.a mikono juu🫠
 
View attachment 3002161

Utamu huu hapa, shida sijui kuna feki....ukiamka asubuhi bichwa linauma balaaa
Tofauti ipo kwenye mwonekano wa umbo la shingo za chupa kwa Safari kubwa ya 500ml.hizo chagua aina moja kama yenye shingo yenye ring kubwa ama ring nyembamba,hapo kamwe hutaumwa kichwa,ama kama ni ndogo komaa na ndogo tu,safari ni mambo yote🤣
 
Back
Top Bottom