Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

S
Okay nilishakunywa nikiwa marangu, ila ni kama kinywaji cha burudani tu sikuhisi chochote hata.
Siku hz mbege wanatengeneza kama juice ili mradi ujaze tumbo.hawataki kutumia huo msesewe wazee wetu wazamani ndio walikuwa wanatengeneza og ila ukienda kama mwika na sehemu moja hv wanaita msae au nganyeni utakutana na mbege ya msesewe og.ila hapo marangu wanaweka sana maji ndo mana vjana wa siku hz wamekuwa walevi wa banana na pombe za spiriti high life zinawamaliza
 
Hapana boss
Yani zinakufanya kama hujanywa kitu.... Like maji tu.
Waeza kunywa weeee Ila utashangaa myumbo tu na maneno kuongezekaa unalala kama mtoto then ukiamka uko so fine and fresh
Hizo pombe unakunywa kifuniko umelewa ndio zinawaua Bodaboda na wajinga wengine😀 kuna mmoja nimepishana nae nikaona usoni ana ngeu.. nikajiongeza tu ni kisungura hicho kimekubali..
 
Kwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe ni basi tu huwaoni kikiwa kimeumana, wengine hutapika nyongo wengine hakuna chakula kinapanda hata bites au maji tu hayapandi..wengine wanakaa hata siku tatu hajala pampu chafu kisa alifululiza 😂😂😂😂... Kiujumla ni mateso.

Mimi binafsi nilikuwa mnywaji mzuri hakuna aina ya bia au spirit au gin hasa hizi local ambazo sikugusa hakuna za asili ambazo sikugusa, week chache zilizopita nimeamua kuacha ulevi mbwa nitakuwa sinywi Tena pombe ili niokoe FIGO na INI nitakuwa nakunywa damu ya yesu kristo tu yenye kuleta ukombozi(huo ni uongo bhana huo ni uongo) Najua mtabisha kwamba haziachiki ni vile tu Sina hela Kwa sasa 😂 😂 😂 😂..

Katika kuteseka kote huko niliamuaga nijitafute nifanye survey nipate pombe isiyoniumiza isiyonichosha na yenye kunikwangua tumbo maana napenda kula kula sana.
Nikajipata kwenye

1. HANSON CHOICE a. k. a CHAI -hii brand Safi Sana aliyeunda formula yake alituliza akili hii pombe itafika mbali sana nitafutieni marketing manager nimshauri atengeneze chupa zenye shape kama thermos unaweza ukainywa na mandazi pia inapanda.. No hangover kama zile zenye kuchangwanywa na ma ethanol mapombe mengi ya viwandan ni fake wameya duplicate sana .. Hii CHAI niliwahi kufuliliza kunywa mwezi mzima bila kupata athari zozote huku misosi ikipanda kama kawaida.. Ilinifanya Mpaka nikanenepa 😂 😂 😂.

GONGO - Isiwe tu yenye kuchanganywa na mauchafu uzoefu wangu upo kwenye NIPA ya mabibo toka masasi ila isiwe shoka sana ni vema ukamix na MAJI. kupunguza makali. Hii hata nilikuwa naweza kufululiza mwezi mzima halafu fresh tu. Ila sikushauri kunywa On your own risk. Usije kufakamia gongo kama za Tabora huko utaumia

TEMBO (MNAZI). Kuna mzungu mmoja anaipenda sana kila siku anawekewa oda kwenye ubanda fulani hii pombe ina sukari sana hivyo lazima utahisi kushiba uzuri haina hangover haina kemikali imeshushwa kwenye mnazi moja Kwa moja ya asili. Hii mnazi ziko aina mbili kuna ile OG ambayo inashuka kwenye mnazi hapo hapo ila nyingine wanakwenda kuizimua na ya Jana. So usimuone mtu ni Tajiri ila hafakamii mabia ovyo ana kuwa na kapombe chake fulani kanachompa stimu za kula na kasichomtesa sana ila kuteseka huwa ni pie lazima siku moja tu kitaumana.

Je wewe ni bia gani au pombe gani zisizo ondoa appetite yako

Drink responsibly.

View attachment 3001677
View attachment 3001679
Watu wa Shinyanga bana ... Lengo lako ni kuipromoti Hanson's Choice 😂😂😂.... Cheki na Glad pale kiwandani Shinyanga... Akuongeze mshahara umeweza.
 
Back
Top Bottom