Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Ballentine na Jagermeister kwa pombe kali hazikati hamu ya kula na kujaza tumbo.

Shots kadhaa za tequilas limao na chumvi na heineken ya kuzugia kichwa kinakaa vyema.

Kunywa beer nyingi hapana, siku hizi naona ushamba tu, kukojoa kama mgonjwa wa diabetes na tumbo kujaa hapana aisee..
Ushajipata wewe.
 
Hivi mbege inakewesha 🙄🙄🙄 duuuh hadi unywe kiasi gani ndio ulewe.....
Mbege za mjni hazileweshi,njoo huku marangu unywe uone ladha yake inavyopendeza. Huwa wanaweka ungaunga flani unaotokana na magome ya mti unaoitwa msesewe yani magome ya huo mti yanakaushwa alafu unatwanga unatoka unga ambao huo unga unachanganya kwenye mbege .cjui kwa kiswahili huo msesewe unaitwaje labda kama kuna wachaga wenzangu watakufafanulia. Huo unga wa msesewe unafanya mbege inakuwa kali ukinywa lita mbili (albamu) unalewa kabisa hasa ukiwa kichwa cha panzi
 
Okay nilishakunywa nikiwa marangu, ila ni kama kinywaji cha burudani tu sikuhisi chochote hata.
 
Komoni ya Iringa, Njombe, Songea na maeneo ya karibu na uchafu wa ubungo, kibo na Kimara.
Kabla ya kukupimia wanakoroga kwanza kwenye ndoo na mwiko ndio mambo gani sasa!
 
Back
Top Bottom