Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Pombe gani hazikupi hangover at the same time zinakupa appetite ya kula?

Mimi chochote nakunywa bila kusumbuliwa na hangover ilmradi tu niwe nimekula chakula kinachoendana na pombe kabla ya kuanza kunywa. Bia kunisumbua labda nikichanganya spirit na lager hapo asubuhi ni kivumbi na jasho sema bia ninazo-prefer kunywa mara zote ni serengeti lager na hanson choice zikikosekana izo nagonga yoyote ila kanuni yangu ni kwamba bia nitakayoanza nayo ndio namaliza nayo kwa sababu nikichanganya hangover itasumbua asubuhi.
 
😀 😀 😀 ni uwongo huu kabisa
Zipo nyingi ukinywa kidogo zinaleta appetizer

Akimaliza anakula supu ya kichwa Cha mbuzi, makongoro ya kitimoto, miguu ya mbuzi, ng'ombe ,mapupu, ngozi

Watu wanakula utumbo wa kuku, kichuri Cha kitimoto

Chezea pombe wewe
Maana mimi najua walevi wengi wa pombe ni wavivu wa kula chakula
 
Kabisa yani ila cha ajabu kuna vibonge vinapiga sana gambe na havipungui sisi wengine nikinywa leo kesho najiona nimekonda balaa kiasi kwamba sitamana tena kunywa
Pombe nyinyi mna over drink kunywa bia zako mbili jion iwe routine yako au Kama Ni mdau kunywa pombekali isizid 350mls pia kunywa maji mengi

Kuna wanywaji na walevi binafsi nachukiaga Sana tabia za walevi ukisha kua mlevi
 
Dah pombe kwangu inaleta shida sana hata ninywe bia mbili kesho najiona kabisa sipo sawa acha tu nikomae na maji mzee
 
images (3).jpeg

Utamu huu hapa, shida sijui kuna feki....ukiamka asubuhi bichwa linauma balaaa
 
Back
Top Bottom