Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Weka camavinga a.k.a K VangaJe akiweka SMINOFF BLACK ACE!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka camavinga a.k.a K VangaJe akiweka SMINOFF BLACK ACE!?
Haahaa😅Nzi wanakuja
Maana inashindana utamu na fanta
Bia zenu hizo kina dada, mnazipenda mno.Flying fish jamani…. Kadude hakana kabisa hangover
Naona pia mnakunywa sana hii bia mpya ya serengeti hizi njano na kijani, vipi ushazijaribu??Flying fish jamani…. Kadude hakana kabisa hangover
Ni sh ngapKwa uchumi wa watz wengi, hanson choice ita take over the game ni swala la mda Tu,
"Hansonchoice haina mpinzani bongo . Naipa 9.5/10
Mimi ni mwanaume lakini mara moja moja hua najificha nyuma ya choo napiga haka kakitu baridi sanaaa.. utamu wake ni zaidi ya nanii 😊Flying fish jamani…. Kadude hakana kabisa hangover
Hapana.. lite zilinishindagaNaona pia mnakunywa sana hii bia mpya ya serengeti hizi njano na kijani, vipi ushazijaribu??
Savanna je?Hapana.. lite zilinishindaga
Sijawahi jaribu kingine cha Tz mpk walipoleta pressed lemon flying fish
Ni chungu 😂 3500_5000 TSHNi sh ngap
Nikipiga nyagi kilo 2 za mdudu hua namaliza mwenyeweeeeeeeKwanza kabisa ifahamike hakuna watu wanapata usingizi mzuri kama wanywaji wa pombe,Hawapati ndoto za ajabu au hallucinations au sleep paraylis. Tatizo kubwa la mitungi huwa kikiumana kesho yake ukiamka nazo la sivyo ukazimue Tena moto ndo mwili unakaa sawa. na hakuna mtu ambaye hateseki na pombe ni basi tu huwaoni kikiwa kimeumana, wengine hutapika nyongo wengine hakuna chakula kinapanda hata bites au maji tu hayapandi..wengine wanakaa hata siku tatu hajala pampu chafu kisa alifululiza 😂😂😂😂... Kiujumla ni mateso.
Mimi binafsi nilikuwa mnywaji mzuri hakuna aina ya bia au spirit au gin hasa hizi local ambazo sikugusa hakuna za asili ambazo sikugusa, week chache zilizopita nimeamua kuacha ulevi mbwa nitakuwa sinywi Tena pombe ili niokoe FIGO na INI nitakuwa nakunywa damu ya yesu kristo tu yenye kuleta ukombozi(huo ni uongo bhana huo ni uongo) Najua mtabisha kwamba haziachiki ni vile tu Sina hela Kwa sasa 😂 😂 😂 😂..
Katika kuteseka kote huko niliamuaga nijitafute nifanye survey nipate pombe isiyoniumiza isiyonichosha na yenye kunikwangua tumbo maana napenda kula kula sana.
Nikajipata kwenye
1. HANSON CHOICE a. k. a CHAI -hii brand Safi Sana aliyeunda formula yake alituliza akili hii pombe itafika mbali sana nitafutieni marketing manager nimshauri atengeneze chupa zenye shape kama thermos unaweza ukainywa na mandazi pia inapanda.. No hangover kama zile zenye kuchangwanywa na ma ethanol mapombe mengi ya viwandan ni fake wameya duplicate sana .. Hii CHAI niliwahi kufuliliza kunywa mwezi mzima bila kupata athari zozote huku misosi ikipanda kama kawaida.. Ilinifanya Mpaka nikanenepa 😂 😂 😂.
GONGO - Isiwe tu yenye kuchanganywa na mauchafu uzoefu wangu upo kwenye NIPA ya mabibo toka masasi ila isiwe shoka sana ni vema ukamix na MAJI. kupunguza makali. Hii hata nilikuwa naweza kufululiza mwezi mzima halafu fresh tu. Ila sikushauri kunywa On your own risk. Usije kufakamia gongo kama za Tabora huko utaumia
TEMBO (MNAZI). Kuna mzungu mmoja anaipenda sana kila siku anawekewa oda kwenye ubanda fulani hii pombe ina sukari sana hivyo lazima utahisi kushiba uzuri haina hangover haina kemikali imeshushwa kwenye mnazi moja Kwa moja ya asili. Hii mnazi ziko aina mbili kuna ile OG ambayo inashuka kwenye mnazi hapo hapo ila nyingine wanakwenda kuizimua na ya Jana. So usimuone mtu ni Tajiri ila hafakamii mabia ovyo ana kuwa na kapombe chake fulani kanachompa stimu za kula na kasichomtesa sana ila kuteseka huwa ni pie lazima siku moja tu kitaumana.
Je wewe ni bia gani au pombe gani zisizo ondoa appetite yako
Drink responsibly.
View attachment 3001677
View attachment 3001679
Mad Max nimeona Uzi wake kaenda tour kisarawe 😊 akatoa sabb ilio mzuia kuingia kusalimia mizimu ya kizaramo😂Siipendi…
Wine.. haswa lions hill/ 4 cousin
Spankling wine… martin
Smirnoff black ice ila mikoba nimemuachia Mad Max
Flying fish
Budweiser
Tofauti na hapo ninywe tu cappucino au grand malt ya moto 😂😂
Martin, bill on me dada🥂Siipendi…
Wine.. haswa lions hill/ 4 cousin
Spankling wine… martin
Smirnoff black ice ila mikoba nimemuachia Mad Max
Flying fish
Budweiser
Tofauti na hapo ninywe tu cappucino au grand malt ya moto 😂😂
Kifutio aiseeWeka camavinga a.k.a K Vanga
Frying fish. Savanah, desperado hata rasha zake sizijui huwa naona ni bia za kikeFlying fish jamani…. Kadude hakana kabisa hangover