Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Kuwazagamua 🤣🤣🤣
 
Ukinywa wine huumwi kichwa wala kutapika?

Mdogo wako situmii kilevi naogopa hivyo vitu😂
Wine haifanyi chochote, cha zaidi zaidi sanaa mwili unapata joto ☺️

Wine pia hazipatani na miubwabwa 🤣🤣
Sio umekula zako miwali, ukagonge wine/ savanna…65% kutapika haukuepukiki
Ila ukila nyama kawaida tu unakuwa

Siku ukitaka kujaribu nitakupa majina ya sweet wine.. dry zinakuwaga na ka uchachu flani mpk umix na coka inakuwa mzuka.

Haha unaogopa kwamba hauko tayari? Ama unaogopa nini?
 
Naona watu wakinywa wanatapika na kulalamika kichwa kinauma kila asubuhi.
 
Asee kumbe tuna mtu wa liquor store hapa emu zielezee vizuri hizO wine hapo tena ukila na kande inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…