Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mkuu😂😂😂 kumbe mko wengi mshamba_hachekwi
Tumekaa palee mashangazi
Tutawachangia matibabu pale mapafu yatakaposumbua
Haha hamna kufilisianaMwache afurahie maisha... boom likikata dadake si upo jamani 😃
Itapendeza kwenye volcano ikayeyuke huko.Tutupe key baharini eti?
Mkuu leo mishale mingi utaweza kuikwepa yote kweli😁😂
Golini yuko kipa makini 😂Mkuu leo mishale mingi utaweza kuikwepa yote kweli😁😂
saivi nikinusa harufu nakohoa😂😂😂😂 kumbe mko wengi mshamba_hachekwi
Tumekaa palee mashangazi
Tutawachangia matibabu pale mapafu yatakaposumbua
Surelyyy… maana ikienda huko haitakaa ipatikaneTutupe key baharini eti?
Hehehe 😃😃😃... jidanganye🤣🤣🤣Halafu utakuta huli hata bakuli ukamaliza
Tayariii 😁😁😁saivi nikinusa harufu nakohoa😂
Sasa huyu wifi yako kaniambukiza kuangalia korean dramaKucheki kdrama
wewe ndo dada mkubwa,, unamuachaje dogo apate shida 😃😃😃...Haha hamna kufilisiana
Kabisa, maana ukisema pombe ndo starehe it means huwezi maliza week bila kuzinywa za kutosha. Hii si sawaBy the way ukiona mtu anatumia kilevi kama starehe, ni moja ya dalili ya udhaifu wa afya ya akili...
Mkuu kilitokea nini nipe mrehesho kabla sijafika mbali maana sijui wewe ulikua unavutaje😁😁😁saivi nikinusa harufu nakohoa😂
Hiyo ni addiction hutaachaSasa huyu wifi yako kaniambukiza kuangalia korean drama
Sio zile za zamani though (wana act kama wako ancient times )
Zamani ilikua naangalia juu juu sahv naulizia kabisa😁😁
Akiniumiza nitakuja Njiro unibembeleze😍Surelyyy… maana ikienda huko haitakaa ipatikane
vitamu vinaua🤪Napenda kula vitu vitamu 😋
I feel safe around you😊Itapendeza kwenye volcano ikayeyuke huko.
Kuna moja hio ilifikia pazuri halafu nakuja kupewa taarifa na yeye haitokuwepo season 2 actors wameshindwana malipo nikachukia kabisaHiyo ni addiction hutaacha
Mi ndo napotezea muda wangu wote humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣