Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

😂 😂 😂 😂 ya mkeka, toka Michewen Zenji,
212903.png
 
Sijawahi kunywa pombe wala kutumia kilevi chochote wala madawa ya kulevya yoyote na sitatumia.

Sipendi mpira, siangalii mpira, siendi clubs wala vitu vinavyofanana na hiyo.

Mimi ni kazini, nyumbani, sex na kulala.

Weekend kama hakuna family ama social events ambayo natakiwa kuhudhuria, ni kulala, documentaries kwa tv, sex kulala, sex na kurudia mwanzo.

Hakuna excuse ya mwanaume kutopenda sex, hakuna. Haijalishi unakunywa pombe ama hunywi sex should be your first priority.

Tatizo ni wanaume wengi wame substitute sex na pombe ama vileo vingine na kuanza kuona wanaume wanaopenda sex kama ni kitu cha ajabu. Mwanaume anaona bora anywe pombe ila sio ku.tombana, hii ni aibu ya mwaka.

Mimi niko tayari uchi unifilisi ila sio kitu kingine.
 
Back
Top Bottom