Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!

Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.

Pombe yenyewe inaenda moja kwa moja na kushambulia "akili". Ikishakamata akili baaasi! Utaanza kushambuliwa na viashiria vyooote vya umasikini! Madeni, lishe duni, maisha duni, usafili duni, n.k. Ili ubalance na maadui ya umasikini inabidi useme uongo, uibe, utapeli na udhurumu.

Wewe kama ni mlevi au mnywa pombe kwa kiwango chochote uwe na uhakiki unabalance maisha kwa vitendo vya ujanja ujanja kama wizi, utapeli, uongo, madeals feki ili muradi uonekae pombe unaimudu. Adui namba moja wa binadamu ni ulevi "pombe".

Ebu niwaambie kitu. Waarabu au dini zilizoshika "uislamu" saaaana ni jamii za watu wasio na akili kabisaaaa! Ila wameweza kutoboa kwa kiasi tunachokiona kwasababu wametambua "pombe" ni adui.

Narudia "Waislamu wamechukulia udhaifu wa binadumu wenzao na kutupiga bao kupitia Pombe". Waislami sio kwamba hawanywi pombe, la ashaaah! Ila wametambua madhara ya pombe katika ngazi ya kitaifa na uwe na uhakika madhara kwao ni pungufu.

Kwa wakristo kwenye kitambu cha "Biblia", kimeandika kwa mara ya kwanza, narudia "kwa mara ya kwanza" mvinyo umetajwa kwenye Biblia kupitia mtu aliyehitwa "Nuhu".

Huyu Nuhu ndie baba yetu wanadamu woooote! Lakini ona sasa, pamoja na sifa na nafasi yake kubwa katika uzao wa mwanadamu jina lake halitajwi na kupewa uzito.

Adamu pamoja na kuleta dhambi duniani bado anajulikana saana kuliko Nuhu labda kwasababu dhambi yake haikupitia pombe ndo maana anajulikana sana kuliko Nuhu ambaye hatajwi kabisa kuwa wanadamu wote ni uzao wa Nuhu ni kwasababu ya "pombe". Soma katika Biblia kitabu cha "Nuhu 9:20 na kuendelea".

Ukinywa pombe kitu cha kwanza ni kushambulia akili na ufahamu wake ili uipende na kuikubali na kuitetea! Madhara ya pombe ni makubwa kuliko kitu chochote duniani! Laiti tungejua ili, madhara ya pombe yangetakiwa kufundishwa mashuleni.

Kwa uzoefu wangu wa maisha yangu niliyoyaishi kwa vipindi tofauti, nimetambua kuwa: kwa mtu mwenye kipato na maisha mazuri yenye sifa za kuitwa "tajiri" akipimwa katika mizania ya uwezo wake wa kutumia akili kwa asilimia unaweza kuwa chini ya masikini unayemdharau.

Wewe unayejiita tajiri unaweza kujikuta unatumia asilimia 5% ya akilini wakati masikini unayemdharau kama hatumii kilevi akawa anatumia zaidi ya asilimia 80% ya akili yake ndogo.

Hawa watu wawili wape muda wa vizazi vyao utakuta baada ya miaka kadhaa kizazi cha mlevi ni fukara na kizazi cha asiyekunywa pombe ni tajiri. Bila kumungunya maneno Waarabu "kiakili" ni "wajinga na wapumbavu" wa kutupwa.

Lakini wamejaliwa kutambua huyu adui anaitwa "pombe" wakampiga marufuku katika ngazi ya kitaifa, sasa ona nchi zao zilivyoendelea pamoja na ujinga wao. Gorofa refu zaidi duniani liko kwa hao wavaa makubasi Dubai.

Nchi ambayo imesogeza bahari kwa eneo kubwa kuliko nchi yoyote duniani na kujenga makazi ya watu ni Dubai. Sio kwamba hawanywi pombe, la asha! ni kwamba wametambua pombe katika ngazi ya kitaifa!

Pombe inapigwa vita katika ngazai ya kitaifa na uwe na uhakika madhara yake kwa wananchi na mukutadha wa taifa utakuwa mdogo. Tuje hapa nchini Tanzania iliyo na muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.

Zanzibar imetambua pombe na kuipiga marufuku katika ngazi ya kitaifa. Sasa ona Wazanzibari jinsi walivyo na werevu kuliko watanganyika na tukiendelea hivi miaka ijayo tutatawaliwa na wazanzibari. Mfano mwingine ni katika mukutadha wa kikabila.

Tanzania kabila ambalo limeweka pombe katika ngazi ya juuu sana kuliko makabila yote ni "wachaga".

Hawa ndugu zetu wachaga laana ya pombe imeanza kutafuna kizazi chao kiasi kwamba wanawake waliobaki uchagani wanatafuta wanaume nje ya kabila lao sababu ya laana ya ulevi uwe na uhakiki miaka ijayo wasiposhtuka watakuwa masikini.

Kwa utafiti wangu na umri wa utu uzima nilionao, hakuna adui mbaya kuliko adui wooote ambaye ameathiri akili za binadamu na kumrudisha nyuma kama pombe!

Ubaya wa pombe ni kwamba unakamata akili na maamuzi kiasi kwamba mtu akigusa pombe uwe na uhakika utashambulia kwa povu la kufa mtu! Kama unafikiri natania angalia maoni ya wadau watakao changia uzi huu!
Je, kati ya CCM, UKIMWI na pombe wewe unadhani kipi bora?
 
Kafie mbele huko..!! Ingekuwa wanywa pombe wote ni masikini ningekuelewa. Lakini kuna walio masikini na hawanywi pombe..!! It is not a linear relatioship
Cheza uchezavyo mkuu ukweli utabaki palepale kwamba pombe sio kitu kizuli kwako,kwa family yako,kwa kazi yako,na kwa afya yako

Na Hao unao waona matajili na wanatumia pombe Basi wangekuwa zaidi ya hapo Kama wasingetumia kabisa

And That's true
 
Kwahiyo, ukiwaondoa walioko mahospitalini kwa sababu ya ajali, kuvamiwa etc, waliolazwa mahospitalini hakuna ambao si walevi..!? Kama wapo, inakuwaje wawe huko wakati hawanywi pombe?
 
Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!

Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.

Pombe yenyewe inaenda moja kwa moja na kushambulia "akili". Ikishakamata akili baaasi! Utaanza kushambuliwa na viashiria vyooote vya umasikini! Madeni, lishe duni, maisha duni, usafili duni, n.k. Ili ubalance na maadui ya umasikini inabidi useme uongo, uibe, utapeli na udhurumu.

Wewe kama ni mlevi au mnywa pombe kwa kiwango chochote uwe na uhakiki unabalance maisha kwa vitendo vya ujanja ujanja kama wizi, utapeli, uongo, madeals feki ili muradi uonekae pombe unaimudu. Adui namba moja wa binadamu ni ulevi "pombe".

Ebu niwaambie kitu. Waarabu au dini zilizoshika "uislamu" saaaana ni jamii za watu wasio na akili kabisaaaa! Ila wameweza kutoboa kwa kiasi tunachokiona kwasababu wametambua "pombe" ni adui.

Narudia "Waislamu wamechukulia udhaifu wa binadumu wenzao na kutupiga bao kupitia Pombe". Waislami sio kwamba hawanywi pombe, la ashaaah! Ila wametambua madhara ya pombe katika ngazi ya kitaifa na uwe na uhakika madhara kwao ni pungufu.

Kwa wakristo kwenye kitambu cha "Biblia", kimeandika kwa mara ya kwanza, narudia "kwa mara ya kwanza" mvinyo umetajwa kwenye Biblia kupitia mtu aliyehitwa "Nuhu".

Huyu Nuhu ndie baba yetu wanadamu woooote! Lakini ona sasa, pamoja na sifa na nafasi yake kubwa katika uzao wa mwanadamu jina lake halitajwi na kupewa uzito.

Adamu pamoja na kuleta dhambi duniani bado anajulikana saana kuliko Nuhu labda kwasababu dhambi yake haikupitia pombe ndo maana anajulikana sana kuliko Nuhu ambaye hatajwi kabisa kuwa wanadamu wote ni uzao wa Nuhu ni kwasababu ya "pombe". Soma katika Biblia kitabu cha "Nuhu 9:20 na kuendelea".

Ukinywa pombe kitu cha kwanza ni kushambulia akili na ufahamu wake ili uipende na kuikubali na kuitetea! Madhara ya pombe ni makubwa kuliko kitu chochote duniani! Laiti tungejua ili, madhara ya pombe yangetakiwa kufundishwa mashuleni.

Kwa uzoefu wangu wa maisha yangu niliyoyaishi kwa vipindi tofauti, nimetambua kuwa: kwa mtu mwenye kipato na maisha mazuri yenye sifa za kuitwa "tajiri" akipimwa katika mizania ya uwezo wake wa kutumia akili kwa asilimia unaweza kuwa chini ya masikini unayemdharau.

Wewe unayejiita tajiri unaweza kujikuta unatumia asilimia 5% ya akilini wakati masikini unayemdharau kama hatumii kilevi akawa anatumia zaidi ya asilimia 80% ya akili yake ndogo.

Hawa watu wawili wape muda wa vizazi vyao utakuta baada ya miaka kadhaa kizazi cha mlevi ni fukara na kizazi cha asiyekunywa pombe ni tajiri. Bila kumungunya maneno Waarabu "kiakili" ni "wajinga na wapumbavu" wa kutupwa.

Lakini wamejaliwa kutambua huyu adui anaitwa "pombe" wakampiga marufuku katika ngazi ya kitaifa, sasa ona nchi zao zilivyoendelea pamoja na ujinga wao. Gorofa refu zaidi duniani liko kwa hao wavaa makubasi Dubai.

Nchi ambayo imesogeza bahari kwa eneo kubwa kuliko nchi yoyote duniani na kujenga makazi ya watu ni Dubai. Sio kwamba hawanywi pombe, la asha! ni kwamba wametambua pombe katika ngazi ya kitaifa!

Pombe inapigwa vita katika ngazai ya kitaifa na uwe na uhakika madhara yake kwa wananchi na mukutadha wa taifa utakuwa mdogo. Tuje hapa nchini Tanzania iliyo na muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.

Zanzibar imetambua pombe na kuipiga marufuku katika ngazi ya kitaifa. Sasa ona Wazanzibari jinsi walivyo na werevu kuliko watanganyika na tukiendelea hivi miaka ijayo tutatawaliwa na wazanzibari. Mfano mwingine ni katika mukutadha wa kikabila.

Tanzania kabila ambalo limeweka pombe katika ngazi ya juuu sana kuliko makabila yote ni "wachaga".

Hawa ndugu zetu wachaga laana ya pombe imeanza kutafuna kizazi chao kiasi kwamba wanawake waliobaki uchagani wanatafuta wanaume nje ya kabila lao sababu ya laana ya ulevi uwe na uhakiki miaka ijayo wasiposhtuka watakuwa masikini.

Kwa utafiti wangu na umri wa utu uzima nilionao, hakuna adui mbaya kuliko adui wooote ambaye ameathiri akili za binadamu na kumrudisha nyuma kama pombe!

Ubaya wa pombe ni kwamba unakamata akili na maamuzi kiasi kwamba mtu akigusa pombe uwe na uhakika utashambulia kwa povu la kufa mtu! Kama unafikiri natania angalia maoni ya wadau watakao changia uzi huu!
Una bilioni ngapi sasa benki?
 
Ulipokosea ulipoingiza dini.. utajiri wa waraabu hautokani na wao kuwa waislam.. maana kuna mataifa ya kiislam ni maskini wa kutupwa..

Utajiri wa jamii flan unachagizwa na vitu vingi nikuhakikishie tu Dini sio sababu, utamaduni ndan ya jamii husika, na hulka zao ni moja ya sababu za kwa nini jamii flan ipatw maendeleo chanya. china, japan majority sio waislam wala
Wakristo na Nchi zao zina maendeleo kuliko nchi yoyote ya kiarabu.

Wasomali, Yemen na sudan ni nchi ambazo 99% ni wailsam ila hizo nchi zote ziko katika nchi maakini dunian

Liberia, burundi arguably ni nchi zenye christian majority ila nao wako kwenye top 10 ya nchi maskini.

Nchi za Europe ambazo ndio kielelezo chabutajiri na maendeleo ndio nchi zenye matajri na maisha mazuri ambapo hata nchi za kiarabu raia wake wanakimbilia huko.. na hizo Nchi za Europe zote % kubwa ya watu wake mlengo wa kidini ni wa kikristo infact nchi za ulaya zilikuwa na had hivi sasa kuna baadhi katika mihimili ya kiserikali Kanisa lina sehem yake kikatiba, Yaan inaitwa state religion.

na wazungu ndio waliopeleka Utajiri Urabuni.. utofauti ni kuwa wakati sie afrika viongozi wetu kwa ubinafsi wanatoa utajiri wa nchi kwa personal gains waarabu walikuwa wanatoa utajiri wa nchi kwa community gains.. ndio maaana sudan kuna vita sasa sababu ya ubinafsi wa viongoz na ni nchi ya kiislam ile.

Halafu umeiangalia ulevi kwenye pombe kama kinywaji kuna aina nyingi za ulevi. Mashariki ya kati kwenye nchi za afghanistan, na nyenginezo ambazo ni 99% wana shida ya kutumia opium

Religion has nothing to do with the wealth of a particular country or person; it's all in the mindset
 
Kwahiyo, ukiwaondoa walioko mahospitalini kwa sababu ya ajali, kuvamiwa etc, waliolazwa mahospitalini hakuna ambao si walevi..!? Kama wapo, inakuwaje wawe huko wakati hawanywi pombe?
1) kunywa pombe ulewe chakali Kisha uingie barabalani ku drive kesho lazima tukutane Kati ya sehemu hizi tatu...

1) hospital
2)police/mahakamani
3)mochwali

Leo ni weekend nenda bar/night crubs utakutana na haya

1)mtu mzima more than 46 anakata mauno bar

2)mtu/mzee wa makamo anakikumbatia under 18/kijukuu chake Kama mkewe

3)Mama mtu mzima.kavaa nguo za.kubana ili kuwa vutia vijana wa kiume huku kashikilia pombe.mkononi

Kiukweli huwezi kuona madhara ya pombe Kama wewe nimtumiaji isipokuwa jamii inayo kuzunguka/manirani
 
HUJAJIBU SWALI LANGU LA MSINGI. NALIRUDIA KWA NAMNA NYINGINE HAPA CHINI

Hivi nani alikueleza kuwa kila mnywa pombe ni mpaka alewe chakali? Ukiondoa huo uchakali point zako zote zinakufa.
La pili hospitali ina hadi wasiokunywa pombe. Tatu, mahakamani wapo wasiokunywa pombe, nne, mochwari wapo wasiokunywa pombe, la tano, wapo wasiolewa lakini wanakata mauno bar, wanakumbatia watoto under 18, wanavaa nguo za kubana. Kumbuka, nguo zinavaliwa kabla ya kulewa..!!

MY POINT IS, KILA LINALOMPATA MLEVI KWA SABABU YA KULEWA, LINAMPATA PIA ASIYEKUNYWA POMBE..!!
 
Nani kakudanganya pakubwa hivyo ndugu yetu?.

Tatizo lako ni unafikiri kuwa kilevi kipo kwenye pombe tu.

Unatakiwa ujue pombe sio tatizo bali kilevi ndio tatizo na ukiongelea kilevi kipo maeneo mengi sana kuna tambuu, pariki, mirungi na tumbaku za ladha. Ambazo hapo uarabuni kwenye uislamu zinatumika sana tu.
 
Sio kweli, mimi mara kadhaa nimelewa sana na nikaendesha gari na nikaamkia home nikaendelea na mishe mishe zangu.

Nadharia zenu hazifanyi mambo kuwa uhalisia wakuu.
 
Nani kakudanganya pakubwa hivyo ndugu yetu?.

Tatizo lako ni unafikiri kuwa kilevi kipo kwenye pombe tu.

Unatakiwa ujue pombe sio tatizo bali kilevi ndio tatizo na ukiongelea kilevi kipo maeneo mengi sana kuna tambuu, pariki, mirungi na tumbaku za ladha. Ambazo hapo uarabuni kwenye uislamu zinatumika sana tu.
Tatizo kubwa ni hili, kila mmoja anaona ulevi wa mwenzie ndo mbaya, ulevi wake siyo..!! Sasa afadhali wasiousema ulevi wa wengine. Hawa wa kuanaisha thread za hivi, wanakesha kuusema ulevi wa wengine lakini wa kwao upo chini ya maji.

CC Killing machine
 
Tatizo mleta uzi amekariri vibaya haya mambo
 
HUJAJIBU SWALI LANGU LA MSINGI. NALIRUDIA KWA NAMNA NYINGINE HAPA CHINI

Hivi nani alikueleza kuwa kila mnywa pombe ni mpaka alewe chakali? Ukiondoa huo uchakali point zako zote zinakufa.
La pili hospitali ina hadi wasiokunywa pombe. Tatu, mahakamani wapo wasiokunywa pombe, nne, mochwari wapo wasiokunywa pombe, la tano, wapo wasiolewa lakini wanakata mauno bar, wanakumbatia watoto under 18, wanavaa nguo za kubana. Kumbuka, nguo zinavaliwa kabla ya kulewa..!!

MY POINT IS, KILA LINALOMPATA MLEVI KWA SABABU YA KULEWA, LINAMPATA PIA ASIYEKUNYWA POMBE..!!
Nakuambia ukigusa pombe wataibuka watu wa kuitetea kwa nguvu zoote! Kama wewe Ngalikihinja
 
Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!

Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.

Pombe yenyewe inaenda moja kwa moja na kushambulia "akili". Ikishakamata akili baaasi! Utaanza kushambuliwa na viashiria vyooote vya umasikini! Madeni, lishe duni, maisha duni, usafili duni, n.k. Ili ubalance na maadui ya umasikini inabidi useme uongo, uibe, utapeli na udhurumu.

Wewe kama ni mlevi au mnywa pombe kwa kiwango chochote uwe na uhakiki unabalance maisha kwa vitendo vya ujanja ujanja kama wizi, utapeli, uongo, madeals feki ili muradi uonekae pombe unaimudu. Adui namba moja wa binadamu ni ulevi "pombe".

Ebu niwaambie kitu. Waarabu au dini zilizoshika "uislamu" saaaana ni jamii za watu wasio na akili kabisaaaa! Ila wameweza kutoboa kwa kiasi tunachokiona kwasababu wametambua "pombe" ni adui.

Narudia "Waislamu wamechukulia udhaifu wa binadumu wenzao na kutupiga bao kupitia Pombe". Waislami sio kwamba hawanywi pombe, la ashaaah! Ila wametambua madhara ya pombe katika ngazi ya kitaifa na uwe na uhakika madhara kwao ni pungufu.

Kwa wakristo kwenye kitambu cha "Biblia", kimeandika kwa mara ya kwanza, narudia "kwa mara ya kwanza" mvinyo umetajwa kwenye Biblia kupitia mtu aliyehitwa "Nuhu".

Huyu Nuhu ndie baba yetu wanadamu woooote! Lakini ona sasa, pamoja na sifa na nafasi yake kubwa katika uzao wa mwanadamu jina lake halitajwi na kupewa uzito.

Adamu pamoja na kuleta dhambi duniani bado anajulikana saana kuliko Nuhu labda kwasababu dhambi yake haikupitia pombe ndo maana anajulikana sana kuliko Nuhu ambaye hatajwi kabisa kuwa wanadamu wote ni uzao wa Nuhu ni kwasababu ya "pombe". Soma katika Biblia kitabu cha "Nuhu 9:20 na kuendelea".

Ukinywa pombe kitu cha kwanza ni kushambulia akili na ufahamu wake ili uipende na kuikubali na kuitetea! Madhara ya pombe ni makubwa kuliko kitu chochote duniani! Laiti tungejua ili, madhara ya pombe yangetakiwa kufundishwa mashuleni.

Kwa uzoefu wangu wa maisha yangu niliyoyaishi kwa vipindi tofauti, nimetambua kuwa: kwa mtu mwenye kipato na maisha mazuri yenye sifa za kuitwa "tajiri" akipimwa katika mizania ya uwezo wake wa kutumia akili kwa asilimia unaweza kuwa chini ya masikini unayemdharau.

Wewe unayejiita tajiri unaweza kujikuta unatumia asilimia 5% ya akilini wakati masikini unayemdharau kama hatumii kilevi akawa anatumia zaidi ya asilimia 80% ya akili yake ndogo.

Hawa watu wawili wape muda wa vizazi vyao utakuta baada ya miaka kadhaa kizazi cha mlevi ni fukara na kizazi cha asiyekunywa pombe ni tajiri. Bila kumungunya maneno Waarabu "kiakili" ni "wajinga na wapumbavu" wa kutupwa.

Lakini wamejaliwa kutambua huyu adui anaitwa "pombe" wakampiga marufuku katika ngazi ya kitaifa, sasa ona nchi zao zilivyoendelea pamoja na ujinga wao. Gorofa refu zaidi duniani liko kwa hao wavaa makubasi Dubai.

Nchi ambayo imesogeza bahari kwa eneo kubwa kuliko nchi yoyote duniani na kujenga makazi ya watu ni Dubai. Sio kwamba hawanywi pombe, la asha! ni kwamba wametambua pombe katika ngazi ya kitaifa!

Pombe inapigwa vita katika ngazai ya kitaifa na uwe na uhakika madhara yake kwa wananchi na mukutadha wa taifa utakuwa mdogo. Tuje hapa nchini Tanzania iliyo na muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.

Zanzibar imetambua pombe na kuipiga marufuku katika ngazi ya kitaifa. Sasa ona Wazanzibari jinsi walivyo na werevu kuliko watanganyika na tukiendelea hivi miaka ijayo tutatawaliwa na wazanzibari. Mfano mwingine ni katika mukutadha wa kikabila.

Tanzania kabila ambalo limeweka pombe katika ngazi ya juuu sana kuliko makabila yote ni "wachaga".

Hawa ndugu zetu wachaga laana ya pombe imeanza kutafuna kizazi chao kiasi kwamba wanawake waliobaki uchagani wanatafuta wanaume nje ya kabila lao sababu ya laana ya ulevi uwe na uhakiki miaka ijayo wasiposhtuka watakuwa masikini.

Kwa utafiti wangu na umri wa utu uzima nilionao, hakuna adui mbaya kuliko adui wooote ambaye ameathiri akili za binadamu na kumrudisha nyuma kama pombe!

Ubaya wa pombe ni kwamba unakamata akili na maamuzi kiasi kwamba mtu akigusa pombe uwe na uhakika utashambulia kwa povu la kufa mtu! Kama unafikiri natania angalia maoni ya wadau watakao changia uzi huu!
Mpaka mara ya mwisho naabgalia statistics Germany 🇩🇪 ndiyo ilikuwa inaongoza kwa ulevi duniani, hivi uchumi wao uko vipi kwa sasa. Nasikia kama wamei-overtake Japan na kuwa number three kiuchumi na wanaendelea kuwa number one kwa Europe.
Back to the topic:
Ukiona pombe zinakupelekesha na badala za kuzi-control inakuwa zenyewe ndiyo zinaku-control acha kabisa kunywa pombe. Yaani kama maamuzi yako baada na kabla ya kulewa havilingani basi acha kabisa kunywa, wapo wenzangu na mimi ukinywa dhakari inakuwa inasumbua inataka utelezi pia hapo inatakiwa kuachana nazo.
 
"kujikuta unatumia asilimia 5% ya akilini wakati masikini unayemdharau kama hatumii kilevi akawa anatumia zaidi ya asilimia 80% ya akili yake ndogo."
Huu ni uoooooooongo:yaani mtu atumie 80%ya akili yake halafu awe masikini!Hivi unatuonaje?Au kwakuwa kuna uhuru wa kuandika ndiyo unaamini unaweza kuja na figures bila ushahidi wa kiutafiti?
After all,mtu kuwa masikini maana yake ametumia akili kidogo sana kutatua changamoto zake/za jamii yake.
 
Back
Top Bottom