Mpaka mara ya mwisho naabgalia statistics Germany 🇩🇪 ndiyo ilikuwa inaongoza kwa ulevi duniani, hivi uchumi wao uko vipi kwa sasa. Nasikia kama wamei-overtake Japan na kuwa number three kiuchumi na wanaendelea kuwa number one kwa Europe.
Back to the topic:
Ukiona pombe zinakupelekesha na badala za kuzi-control inakuwa zenyewe ndiyo zinaku-control acha kabisa kunywa pombe. Yaani kama maamuzi yako baada na kabla ya kulewa havilingani basi acha kabisa kunywa, wapo wenzangu na mimi ukinywa dhakari inakuwa inasumbua inataka utelezi pia hapo inatakiwa kuachana nazo.
HUJAJIBU SWALI LANGU LA MSINGI. NALIRUDIA KWA NAMNA NYINGINE HAPA CHINI
Hivi nani alikueleza kuwa kila mnywa pombe ni mpaka alewe chakali? Ukiondoa huo uchakali point zako zote zinakufa.
La pili hospitali ina hadi wasiokunywa pombe. Tatu, mahakamani wapo wasiokunywa pombe, nne, mochwari wapo wasiokunywa pombe, la tano, wapo wasiolewa lakini wanakata mauno bar, wanakumbatia watoto under 18, wanavaa nguo za kubana. Kumbuka, nguo zinavaliwa kabla ya kulewa..!!
MY POINT IS, KILA LINALOMPATA MLEVI KWA SABABU YA KULEWA, LINAMPATA PIA ASIYEKUNYWA POMBE..!!
Kwahiyo, ukiwaondoa walioko mahospitalini kwa sababu ya ajali, kuvamiwa etc, waliolazwa mahospitalini hakuna ambao si walevi..!? Kama wapo, inakuwaje wawe huko wakati hawanywi pombe?
Tatizo kubwa ni hili, kila mmoja anaona ulevi wa mwenzie ndo mbaya, ulevi wake siyo..!! Sasa afadhali wasiousema ulevi wa wengine. Hawa wa kuanaisha thread za hivi, wanakesha kuusema ulevi wa wengine lakini wa kwao upo chini ya maji.
Napenda valuu au Hanson's sema Hanson's Ina kaharufu kabaya uamkapp hasubuhi
nikiikosa huwa natumia nyagi.. lakini nikitingwa Sana huwa natumia vant sema van't inapoteza kumbu kumbu
Japo Ina Nipa hamu yakula Sana nyama choma
Spendi bia
sababu bia zinajaza tumbo af natumia pesa mingi na mda mwingi kupata vibe na huwa Inani potezea appetite ya kula kitu ambacho kwangu sikitaki
Kafie mbele huko..!! Ingekuwa wanywa pombe wote ni masikini ningekuelewa. Lakini kuna walio masikini na hawanywi pombe..!! It is not a linear relatioship
Napenda valuu au Hanson's sema Hanson's Ina kaharufu kabaya uamkapp hasubuhi
nikiikosa huwa natumia nyagi.. lakini nikitingwa Sana huwa natumia vant sema van't inapoteza kumbu kumbu
Japo Ina Nipa hamu yakula Sana nyama choma
Spendi bia
sababu bia zinajaza tumbo af natumia pesa mingi na mda mwingi kupata vibe na huwa Inani potezea appetite ya kula kitu ambacho kwangu sikitaki
Hatujasema husipokunywa pombe na ukabweteka bila kufanyakazi utatoboa! Tumesema madhara ya pombe ni makubwa hata kama unajipambania maisha yako kwa kufanyakazi! Ukiwa unakunywa pombe ukipiga hatua mbili mbele unarudi hatua tatu nyuma!
Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!
Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.
Pombe yenyewe inaenda moja kwa moja na kushambulia "akili". Ikishakamata akili baaasi! Utaanza kushambuliwa na viashiria vyooote vya umasikini! Madeni, lishe duni, maisha duni, usafili duni, n.k. Ili ubalance na maadui ya umasikini inabidi useme uongo, uibe, utapeli na udhurumu.
Wewe kama ni mlevi au mnywa pombe kwa kiwango chochote uwe na uhakiki unabalance maisha kwa vitendo vya ujanja ujanja kama wizi, utapeli, uongo, madeals feki ili muradi uonekae pombe unaimudu. Adui namba moja wa binadamu ni ulevi "pombe".
Ebu niwaambie kitu. Waarabu au dini zilizoshika "uislamu" saaaana ni jamii za watu wasio na akili kabisaaaa! Ila wameweza kutoboa kwa kiasi tunachokiona kwasababu wametambua "pombe" ni adui.
Narudia "Waislamu wamechukulia udhaifu wa binadumu wenzao na kutupiga bao kupitia Pombe". Waislami sio kwamba hawanywi pombe, la ashaaah! Ila wametambua madhara ya pombe katika ngazi ya kitaifa na uwe na uhakika madhara kwao ni pungufu.
Kwa wakristo kwenye kitambu cha "Biblia", kimeandika kwa mara ya kwanza, narudia "kwa mara ya kwanza" mvinyo umetajwa kwenye Biblia kupitia mtu aliyehitwa "Nuhu".
Huyu Nuhu ndie baba yetu wanadamu woooote! Lakini ona sasa, pamoja na sifa na nafasi yake kubwa katika uzao wa mwanadamu jina lake halitajwi na kupewa uzito.
Adamu pamoja na kuleta dhambi duniani bado anajulikana saana kuliko Nuhu labda kwasababu dhambi yake haikupitia pombe ndo maana anajulikana sana kuliko Nuhu ambaye hatajwi kabisa kuwa wanadamu wote ni uzao wa Nuhu ni kwasababu ya "pombe". Soma katika Biblia kitabu cha "Nuhu 9:20 na kuendelea".
Ukinywa pombe kitu cha kwanza ni kushambulia akili na ufahamu wake ili uipende na kuikubali na kuitetea! Madhara ya pombe ni makubwa kuliko kitu chochote duniani! Laiti tungejua ili, madhara ya pombe yangetakiwa kufundishwa mashuleni.
Kwa uzoefu wangu wa maisha yangu niliyoyaishi kwa vipindi tofauti, nimetambua kuwa: kwa mtu mwenye kipato na maisha mazuri yenye sifa za kuitwa "tajiri" akipimwa katika mizania ya uwezo wake wa kutumia akili kwa asilimia unaweza kuwa chini ya masikini unayemdharau.
Wewe unayejiita tajiri unaweza kujikuta unatumia asilimia 5% ya akilini wakati masikini unayemdharau kama hatumii kilevi akawa anatumia zaidi ya asilimia 80% ya akili yake ndogo.
Hawa watu wawili wape muda wa vizazi vyao utakuta baada ya miaka kadhaa kizazi cha mlevi ni fukara na kizazi cha asiyekunywa pombe ni tajiri. Bila kumungunya maneno Waarabu "kiakili" ni "wajinga na wapumbavu" wa kutupwa.
Lakini wamejaliwa kutambua huyu adui anaitwa "pombe" wakampiga marufuku katika ngazi ya kitaifa, sasa ona nchi zao zilivyoendelea pamoja na ujinga wao. Gorofa refu zaidi duniani liko kwa hao wavaa makubasi Dubai.
Nchi ambayo imesogeza bahari kwa eneo kubwa kuliko nchi yoyote duniani na kujenga makazi ya watu ni Dubai. Sio kwamba hawanywi pombe, la asha! ni kwamba wametambua pombe katika ngazi ya kitaifa!
Pombe inapigwa vita katika ngazai ya kitaifa na uwe na uhakika madhara yake kwa wananchi na mukutadha wa taifa utakuwa mdogo. Tuje hapa nchini Tanzania iliyo na muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar.
Zanzibar imetambua pombe na kuipiga marufuku katika ngazi ya kitaifa. Sasa ona Wazanzibari jinsi walivyo na werevu kuliko watanganyika na tukiendelea hivi miaka ijayo tutatawaliwa na wazanzibari. Mfano mwingine ni katika mukutadha wa kikabila.
Tanzania kabila ambalo limeweka pombe katika ngazi ya juuu sana kuliko makabila yote ni "wachaga".
Hawa ndugu zetu wachaga laana ya pombe imeanza kutafuna kizazi chao kiasi kwamba wanawake waliobaki uchagani wanatafuta wanaume nje ya kabila lao sababu ya laana ya ulevi uwe na uhakiki miaka ijayo wasiposhtuka watakuwa masikini.
Nimewahi kuitembelea wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro nilichokiona huko kinatisha, Rombo ni wilaya ambayo iko nyuma sana kimaendeleo na watu wake hawana habari yoyote ya maendeleo zaidi ya kunywa pombe! Pombe, pombe, pombe hakuna cha mzee au mtoto hata mwanafunzi! Shule zinakosa wanafunzi...
www.jamiiforums.com
Kwa utafiti wangu na umri wa utu uzima nilionao, hakuna adui mbaya kuliko adui wooote ambaye ameathiri akili za binadamu na kumrudisha nyuma kama pombe!
Ubaya wa pombe ni kwamba unakamata akili na maamuzi kiasi kwamba mtu akigusa pombe uwe na uhakika utashambulia kwa povu la kufa mtu! Kama unafikiri natania angalia maoni ya wadau watakao changia uzi huu!
Na hata asiyekunywa pombe humkosi. Tatizo mnaopinga hamna hoja. Yale mnayoyaona kwamba ni madhara ya pombe, hata asiyekunywa yanampata. Hapo ndo kwenye point yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.