Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

Usikute bwana Morning_star utelezi a.k.a mbunye ndo ulevi wake.
 
Nimejikuta nacheka tu😄😄

lengo namba moja la kunywa pombe nikulewa,. na kulewa nikuitoa akili kutoka kwenye utimamu na kuileta kwenye Hali isiyo na utimamu

Kulewa nikujitoa ufahamu mkuu

lakini kuhusu linalo mpata mlevi na asiye kunywa siwezi kuku pinga

Mfano mzuli ni kifo

Ila mwisho wa siku pombe siyo
 
Kwahiyo, ukiwaondoa walioko mahospitalini kwa sababu ya ajali, kuvamiwa etc, waliolazwa mahospitalini hakuna ambao si walevi..!? Kama wapo, inakuwaje wawe huko wakati hawanywi pombe?
Hapo kwenye ajali humkosi pombe
 
Napenda valuu au Hanson's sema Hanson's Ina kaharufu kabaya uamkapp hasubuhi

nikiikosa huwa natumia nyagi.. lakini nikitingwa Sana huwa natumia vant sema van't inapoteza kumbu kumbu
Japo Ina Nipa hamu yakula Sana nyama choma

Spendi bia
sababu bia zinajaza tumbo af natumia pesa mingi na mda mwingi kupata vibe na huwa Inani potezea appetite ya kula kitu ambacho kwangu sikitaki

Onyo!
mkuu pombe siyo
 
Pombe ni tatizo ikiwa addiction, ila una chumvi nyingi sana
 
Uzi wa kisabato ,walokole wengi ni hohehae walalahoi kuliko wanaokunywa bia
 
Wee umekuwa mwungwana! Pombe sio!
 
Uzi wa kisabato ,walokole wengi ni hohehae walalahoi kuliko wanaokunywa bia
Hatujasema husipokunywa pombe na ukabweteka bila kufanyakazi utatoboa! Tumesema madhara ya pombe ni makubwa hata kama unajipambania maisha yako kwa kufanyakazi! Ukiwa unakunywa pombe ukipiga hatua mbili mbele unarudi hatua tatu nyuma!
 
Kama akili zako wewe usiyekunywa pombe ndio hizi za uharo.
Bora tuendelee kunywa tu pombe.
Mtoa Mada umezidiwa akili na Kuku
 
Upo sahihi saana ila ..hapa unazungumzia wale walevi mbwa kuna watu wanakunywa pombe just for funny tuu na sio kitu cha muhimu saana kwake
 
Punguza mahaba na pombe ili ukibahatika kufika uzeheni usije kuwa mtembea na bakuli mitaani
Unarudi palepale, linalompata mlevi hata asiyekunywa pombe linampata. Wapo wasiokunywa pombe hivi sasa wanatembeza bakuli..!!
 
Bado upo pale pale. Kama asiyekunywa naye anapata madhara yanayompata anayekunywa, basi haina maana kuipinga pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…