Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

Bado upo pale pale. Kama asiyekunywa naye anapata madhara yanayompata anayekunywa, basi haina maana kuipinga pombe
Sasa nimeanza kukuekewa kwamba kumbe una maanisha kwamba kwakuwa mlevi na asiye mlevi wote Wana patwa na maralia hivyo pombe Haina tatizo kwa afya na akili ya mtu si ndiyo?
 
Hapa unawasema wachagga tu.
 
Kobaaazi...
 
Sasa nimeanza kukuekewa kwamba kumbe una maanisha kwamba kwakuwa mlevi na asiye mlevi wote Wana patwa na maralia hivyo pombe Haina tatizo kwa afya na akili ya mtu si ndiyo?
Malaria haisababishwi na pombe. Nazungumzia vinavyotajwa kwamba ndiyo athari za pombe, wasiokunywa hiyo pombe nao wanazipata athari hizo hizo zinazosababishwa na pombe..!! Usikwepeshe pointi
 
Hiyo hesabu yako ilitakiwa kuwa hivi mkuu: 12,500×365=4,562,500/
 
Umeongea ukweli mtupu, maisha ya mlevi na asiyekunywa yanakuwa tofauti sana, nadhani ni mambo ya mungu mwenyewe kitu akikikataza anajua mwenyewe kwa nini
 
Mimi ni shahidi wa pombe inavyoharibu mipango mingi ya Ndugu na jamaa zangu na wengine nimewapoteza sababu ya pombe na niwe mkweli tu kuwa pombe sio mchongo hakika unavyoinywa unakuwa poa tu ila matokeo yake asubuhi ni kujuta pamoja na kero vikiwa vimeambtana kwa ukaribi zaidi
 
Sijui tuandike Mara ngapi? TUMESHA SEMA HUMU KILA MARA NA BILA KUCHOKA..

""POMBE HAIJAWAI KUA TATIZO SIKU ZOTEEE TATIZO NI MTU MWENYEWE ""

POMBE
NI KWA AJIRI YA MACHAMPIONI WASHINDI WA VITA NA WAFALME WATAWALA TOKA ENZI NA ENZI DOLA ZOTEEE DUNIANI KUBWA HUTUMIA MVINYO.

UMASKINI, UJINGA NA MARADHI NDIO JANGA KUU HAPA KWETU TANZANIA ILA POMBE SIO TATIZO NA HAIJAWAI KUA TATIZO..

 
Ndio hao hao mashehe Wana lawiti, wabinafsi, wachoyo, wazinzi, wanatembea na wake za watu hao hao waongo,matapeli, wazandiki wazulumati, wezi.

NB.
Pombe hajawai kua shida/ tatizo issue ni binadamu/mtu mwenyewe Wana misuse pombe.
 
Ndio hao hao mashehe Wana lawiti, wabinafsi, wachoyo, wazinzi, wanatembea na wake za watu hao hao waongo,matapeli, wazandiki wazulumati, wezi.

NB.
Pombe hajawai kua shida/ tatizo issue ni binadamu/mtu mwenyewe Wana misuse pombe.
Kisu chenyewe ukichomwa nacho tumboni unaweza ukasepa duniani, lakini tunavyo jikoni
 
Adui mkubwa wa mwanaume ni pombe..lakini mwanaume anaeogopa adui yake ni muoga wa kutupwa..

tunywe pombe walau kwa siku hata chupa moja sio mbaya
 
Ni kweli
Mkoa wote wa Kkilimanjaro ni mkoa wa walevi, nimesoma hapo na nimeona asubuhi na mapema vilabu vya mbenge vimejaa watu.
Ndio maana siku hizi wachaga sio wale wanaoheshimika katika biashara, limebaki jina tu, kwa kuwa kizazi kimemalizwa na pombe....
 
Umeona takwimu za bidhaa zinazoingiza kodi kubwa nchini?basi kaa kimya tuliza kalio mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…