LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Hawa vijana sijui wamesoma vyuo gani na wamefundishwa na wakufunzi gani, unaendaje kufanya interview umevaa kisholashobola na kunyoa nywele mitindo ya kihuni? Ina maana hawajui saikolojia ya kuomba kazi? Hebu wawe wanapata kwanza ushauri wa namna ya kushinda usaili