Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Sio wote hayo ni mavazi tu ayausiani na issue za utendaji kazi mbona Kuna madaktari Tena hospital kubwa tu wamekaa Sagara Sagara tu shame kabisa 🤣 mpaka unashangaa daktari bingwa anakaa ovyo ovyo hivyo bora hata wavaa kobazi wengi wao wasafi kabisa.Yaani ukiona mtu kavaa cobaz na kanyoa mtindo au kiduku...
Lazima atakuwa anawaza kuwa yeye ni mjanja kuliko watu wote vijijini 💯🙌🙌🙌