Mkuu mimi nimeleta kilichoandikwa kwenye gazeti tena na hizo ndizo sababu zilizotolewa kuwa zinachangia wengi kukosa ajiraNashanga unacheka hata pasipochekesha!!, Unakuja na hoja dhaifu dhidi ya mifumo iliyofeli kutengeneza ajira kwa vijana!!. Matahalani walioomba ajira za ualim walikuwa 200,000 waliokuwa wanahitajika ni 15,000!! Anamaanisha hawa WOTE waliokosa ajira walikuwa walevi na wavaa milegezo?.
Habarini wakuu
Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali
Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano
Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja amevaa jeans imekatikatika humu eti anakuja kwenye Usaili wa ana kwa ana. Njoo kwenye usaili umepiga katai kako na kashati kako. Mbona siku hizi kwenye masoko kuna hadi ka shati ka 1000 unamwona huyu ana haiba. Wengi wanashindwa kwa namna wanavyokuja"
Chanzo gazeti la Nipashe
Hao wanatafuta sababu tu. Suala la ajira serikali tayari imeshindwa kulitatua, sasa inapambana kutaka kuonyesha tatizo ni wasomi. Majuzi kuna mwingine kasema wahitimu waende VETA, very pathetic.!Habarini wakuu
Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali
Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano
Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja amevaa jeans imekatikatika humu eti anakuja kwenye Usaili wa ana kwa ana. Njoo kwenye usaili umepiga katai kako na kashati kako. Mbona siku hizi kwenye masoko kuna hadi ka shati ka 1000 unamwona huyu ana haiba. Wengi wanashindwa kwa namna wanavyokuja"
Chanzo gazeti la Nipashe
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Mzee punguza kidogoHapo kashashiba kuku wake mchanga wa kuchoma hapo chako ni chako na beer za baridi basi anakunya tu mavi manene.
πππHapo kashashiba kuku wake mchanga wa kuchoma hapo chako ni chako na beer za baridi basi anakunya tu mavi manene.
Wanna matusi sana hawa watuHapo kashashiba kuku wake mchanga wa kuchoma hapo chako ni chako na beer za baridi basi anakunya tu mavi manene.
kuna dada aliomba nafasi ya Nursing kwenye Hospitali yetu kubwa na huku ana GPA 4.7 akakosa kwa sababu barua yake ya maombi haikuwa na picha ya passport, pamoja na kwamba vyeti vyake vilikuwa nayo..wakaishia kuchukua mtu wa GPA sijui ya 3.4 aliyeweka picha ya passport kwenye barua ya maombi. Ukweli niliogopa sana
Huko Serikalini wapo serious sana....
Niliogopa kwa sababu mtu aliyepo serious hawezi kufanya hivyo; Namaanisha uchaguzi wao niliufananisha na kuchagua Shaba kwa sababu ipo kwenye boxi la chuma na kuacha Almas kwa sababu ipo kwenye box la mbao.Kisa Cha kuogopa ni nini
Nakubali brother.Kuna taaluma binafsi nikimuona mtu kaja na jeans na t-shirt na chini raba tu yakawaida kifupi yuko simple, na nywele amenyoa Tu kawaida yaani nywele fupi NAMPA KAZI HARAKA SANA, Kwa uzeofu wangu hawa huwa niwapiga kazi sana na wako real.
Hivi ukivaa jinsi ukachomekea na moka yako kali ni uhuni pia?Kuna wakati nilikuwa napeleka kazi zangu pale IPP MEDIA upande wa magazeti. Nikivaa tshirt na jeans nilikuwa naishia getini wakidhani mimi ni muhuni tu ila nikivaa suaruali yangu ya kitambaa na shati la mikono mirefu nimechomekea mkanda nje na kunyoa vizuri, kiatu cha kupigwa kiwi kinang'aa napendeza, nilikuwa navuka vizuizi vyote mpaka namfikia mhariri bila vikwazo wakidhani mi ni miongoni mwa wafanyakazi wao kumbe mi ni raia tu wa mtataani. Mavazi yenye staha humheshimisha mtu anapokuwa mahali fulani penye staha.