Pombe, Viduku, Milegezo Vimini Chanzo cha Wengi kushindwa Usaili Serikalini

Yaani ukiona mtu kavaa cobaz na kanyoa mtindo au kiduku...
Lazima atakuwa anawaza kuwa yeye ni mjanja kuliko watu wote vijijini πŸ’―πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Sio wote hayo ni mavazi tu ayausiani na issue za utendaji kazi mbona Kuna madaktari Tena hospital kubwa tu wamekaa Sagara Sagara tu shame kabisa 🀣 mpaka unashangaa daktari bingwa anakaa ovyo ovyo hivyo bora hata wavaa kobazi wengi wao wasafi kabisa.
 
Hiyo ni sirias au niujinga?
 
Mkuu, kuna mtu ukimwona unajua kabisa kuwa anawaza yeye ndio mjanja...

Kavaa cobaz, suruali ya Jeje, Kofia zile za Cap, Kanyoa kiduku akachonga nywele na kupaka super black, then huo mjongeo utafkiri kachomwa mwiba anatembea akichechemea πŸ’―πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜…
 
Hivi ukivaa jinsi ukachomekea na moka yako kali ni uhuni pia?
ndio ni uhuni, jeans ni vazi la kihuni wanavaa vijana wahuni wahuni, mtu mzima kuvaa jeans utaonekana ni muhuni na huna heshima
 
Yani mtu anaenda kwenye usaili amevaa jinzi la kuchanika πŸ€” sasa si mwehu huyo wange wasaidia kuwapeleka milembe moja moja
Nimwehu tu ataamini hizo ngonjera waombaji walikua laki mbil nafasi elf 15 vijana walikua smart sana sema tu ajira hazitoshi
 
Hiyo ni life style tu mkuu wanapendeza sema hapo kwenye kujiona wakanja nakubali ila ndio unyama πŸ”₯
 
Awasemi hawana ajira za kuwapa wanakuja na visababu vya kijinga
 
anayetema huo uharo yeye wanae wako BOT na TRA tena wapo bila hata usaili duh poleni watanganyika mkiambiwa no reforms no elections muwe mnaelewa , hapohapo kuna mbuzi wanaandamana kwenda kumchukulia bibi chura fomu agombee tena kwakweli waafrika tuna hali mbaya sana vichwani hasa wabongo na wana siisiiemu.
 
Tunasafari ndefu sana mkuu.
 
 
Tuliofanya oral interview Kwa somo la biology daraja la IIIC Tanzania nzima tulikuwa 2221, kulingana na tangazo la ajira walihitajika waalimu wa biology daraja IIIC 543.
Kwahyo hata wote tungeenda kwenye usaili tukiwa tumevaa suti ilikuwa lazima katika kila watu wanne, watatu wakose kulingana na idadi iliyokuwa inahitajika
 
halafu unaweza kusikia mtu anakuambia waalimu wa Sayansi (Maths, Phy, Chem, Biol) hawapo mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…