We ndo huelewi, ngoja nikuulize swali jepesi ndugu yanguSasa unashindwa kuelewa kitu gani ndugu? Huoni kwamba huyo anayekunywa 40% kwenye chupa ndogo ya mils 200 ana kiwango kidogo sana cha maji cha kuipoza tofauti na yule anayekunywa 40% kwenye chupa ya mils 750? Shule ulienda kusomea ujinga?
Yaani kuna watu mnakua sijui akili zimeganda, kwa io unataka kusema hivo vi sungura sijui wakiviweka(ku vipackage) kwenye machupa makubwa yanayong'aa ya 750mls afu alcohol by volume ibaki Hio Hio 40% ndo vitakua vimepunguza ukali au?Sasa unashindwa kuelewa kitu gani ndugu? Huoni kwamba huyo anayekunywa 40% kwenye chupa ndogo ya mils 200 ana kiwango kidogo sana cha maji cha kuipoza tofauti na yule anayekunywa 40% kwenye chupa ya mils 750? Shule ulienda kusomea ujinga?
Stendi zote kuna mtindo mpya hivyo visungura vinakatwa mara 2 vinawekwa kwenye chupa tupu Kwa hiyo kama Kisungura kilikuwa kinauzwa 2000 Msela anakipata Kwa 1000 au anapimiwa tot ya 500. Umeona wapi chupa tupu za Visungura zimetupwa?Naona Dar es salaam kila kijana akikutana naye anaomba kisungura
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kubishana nae mzee utachoka.. mana tulichokigundua yeye hajagundua.Sasa unashindwa kuelewa kitu gani ndugu? Huoni kwamba huyo anayekunywa 40% kwenye chupa ndogo ya mils 200 ana kiwango kidogo sana cha maji cha kuipoza tofauti na yule anayekunywa 40% kwenye chupa ya mils 750? Shule ulienda kusomea ujinga?
Madhara ya shule za kata hayo. Wanafunzi wanasoma kwa kukariri tu, hakuna reasoning. yaani 40% ya kwenye mils 200 iwe sawa na 40% ya kenye mils 750? Ajabu sanaAcha kubishana nae mzee utachoka.. mana tulichokigundua yeye hajagundua.
Nimekunywa gongo ya hapa Dar na Smartgin bora ya gongo tu. Gin ni kali zaidi. Kuna sehemu wanauza kitimoto na gongo, siku ya kwanza kabisa baada ya kula kitimoto niligida glass 2 ambazo ni kama nusu lita na haikunipa shida.Pombe haijaanza kunywewa leo bwashee,
Miaka na miaka Kuna gongo mitaani vilabuni Zina Zaid ya 60% alcohol, mababu zetu wamekunywa sn na bado wako hai.
Vijana wa Sasa mnauwawa na vingi,
Hivyo visukari na magonjwa ya Moyo mengine mnajiletea wnyw kwny mahusiano yenu pasua kichwa uko.
Msisingizie pombe bhana
Gongo la vilabu vya ishachakachuliwa wapate faida, Nenda pembezoni uko kinauzwa kitu pure mpk kinatoka mvuke.Nimekunywa gongo ya hapa Dar na Smartgin bora ya gongo tu. Gin ni kali zaidi. Kuna sehemu wanauza kitimoto na gongo, siku ya kwanza kabisa baada ya kula kitimoto niligida glass 2 ambazo ni kama nusu lita na haikunipa shida.
Lakini gin ukigida kwa ujazo huo siku ya kwanza itakuchanganya kidogo.
Basi tu ubishi ukisema wanakaza shingo ..mi kwakweli sibishani skuiziMadhara ya shule za kata hayo. Wanafunzi wanasoma kwa kukariri tu, hakuna reasoning. yaani 40% ya kwenye mils 200 iwe sawa na 40% ya kenye mils 750? Ajabu sana
Hahaha sungura ni 37 mengine ni exagration of facts tuAlcohol 40 ya Sungura na Alcohol 40 ya Grants, tofauti yake ni nini?
So kwa maana hiyo ipi ni kali mkuu?Hahaha sungura ni 37 mengine ni exagration of facts tu
HahahahaDah aisee nakunywa sana hivi vidude ebu niachane navyo vitaniua vimefanya naanza kupoteza nywele nywele zang zinakatika
Kuna picha ya sungura kwenye kichupa chake.Nchi haiishiwi maneno hii kwann visungura 🐇😀
Yupo sahihi ni kama maji tuu yakichemshwa yakiwa ni 100°C yawe kwenye Kikombe au Sufuria yatakua ni sawaMadhara ya shule za kata hayo. Wanafunzi wanasoma kwa kukariri tu, hakuna reasoning. yaani 40% ya kwenye mils 200 iwe sawa na 40% ya kenye mils 750? Ajabu sana
Nimekumbuka Ndugu yangu mtaalam wa Sayansi alikuwa anamnanga rafiki yake aliyekuwa anachanganya soda na maji ili kupunguza sukari.Kimahesabu sijakuelewa! kwamba 40% alc kwenye lita moja ya maji ni ndogo kuliko 40%alc kwenye robo lita ya maji? Itabidi nirudi shule kwanza kusoma hesabu za percentage.
Au watasema kilo kumi za mawe ni nyingi kuliko kilo kumi za pambaYupo sahihi ni kama maji tuu yakichemshwa yakiwa ni 100°C yawe kwenye Kikombe au Sufuria yatakua ni sawa
Songea vimeadimika kabisaNi viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Boda boda, machinga, wapiga debe na walevi wa kiwango cha umaskini ndio chao kwa bei ndogo vijana wanapotea maana kinaunguza maini na mfumo mzima wa afya ya akili na uzazi.
Serikali ipige marufuku hivi vidude vitaua vijana.
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app