Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
We ndo huelewi, ngoja nikuulize swali jepesi ndugu yanguSasa unashindwa kuelewa kitu gani ndugu? Huoni kwamba huyo anayekunywa 40% kwenye chupa ndogo ya mils 200 ana kiwango kidogo sana cha maji cha kuipoza tofauti na yule anayekunywa 40% kwenye chupa ya mils 750? Shule ulienda kusomea ujinga?
Una watu wawili tuwaite A na B
Mtu A akanywa konyagi za 200mls zile ndogo chupa mbili na nusu.... (200mls*2.5=500mls)
Mtu B akanywa konyagi ile ya kati 500mls chupa Moja (500mls*1=500mls)
Je Kuna tofauti ya kiwango Cha pombe walichokunywa hao watu wawili???? Nakusubiri