Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Alidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.
 
Hivi kuogopwa ni sawa na kuheshimika? Uoga una unafiki ndani yake ili hali heshima ina upendo ndani yake. Ni kweli Magu aliogopwa na sio kuheshimiwa.
Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
 
Hakubaliki na ndio maana anatafuta kiki kwa akina mangi.

Anatafuta kukubalika kimchongo.
 
Kama aliweza kuokota vichwa vya treni bandarini, sidhani kama igizo angeshindwa kulicheza.

Dingi alikuwa sungura sana yule
Vipi mapokezi ya mamayo huko?

Unaweza kutuwekea picha za mafuriko kama ya Magu hapa?
 
Magufuli alikuwa msanii sana yule mzee harafu mazezeta ya tanzania yakamuamini! utasikia tumtegemee Mungu kumbe usiku muuaji hatari!
 
Marehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
Lile jani uwezi pewa kwa mchongo man,ukilitoa kinafki litakidhuru.
 
Back
Top Bottom