IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Peleka bimkubwa wako awe raisRais mataputapu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka bimkubwa wako awe raisRais mataputapu
Alidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
🤡🤡🤡👇Peleka bimkubwa wako awe rais
Kama aliweza kuokota vichwa vya treni bandarini, sidhani kama igizo angeshindwa kulicheza.Iko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
We shoga huwa una matatizo gani?Utaendekea kuabudu mizimu kwa maana nawe ni mzimu.
Vipi mapokezi ya mamayo huko?Kama aliweza kuokota vichwa vya treni bandarini, sidhani kama igizo angeshindwa kulicheza.
Dingi alikuwa sungura sana yule
Kwa vipi ??! Mataputapu ndio nini ?Rais mataputapu
Na huo ndiyo utumwa wenyewe,yaani unamuogopa mwadamu mwenzio kuliko kumuogopa muumba wako?.Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Kwakuwa wewe ni shoga basi kila mtu unadhani ni shoga kama wewe?We shoga huwa una matatizo gani?
Hao machawa waliaminishwa na Lugola na Kesy kuwa huyo ndiyo malaika waoNa huo ndiyo utumwa wenyewe,yaani unamuogopa mwadamu mwenzio kuliko kumuogopa muumba wako?.
Mataputapu ni Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡👇Kwa vipi ??! Mataputapu ndio nini ?
Kwani kaja Dubai? Sina taarifa ngoja nifuatilieVipi mapokezi ya mamayo huko?
Unaweza kutuwekea picha za mafuriko kama ya Magu hapa?
Na wasengenya walinuna wakijua jamaa anawabana sengenya zao zisiliwe.Iko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Unahangaika kutafuta mabwana mpaka unaboaKwakuwa wewe ni shoga basi kila mtu unadhani ni shoga kama wewe?
Kila nikikutana nayo hii napata kichefuchefu.Mataputapu ni kitendo cha Rais fisadi kuhamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡👇View attachment 2091218
Hiki ndio kipindi chao cha mwishoCcm wajipange tu 2025. Wasi underestimate kabisa huu mwaka. Kuna namna watu wamechoka.
Lile jani uwezi pewa kwa mchongo man,ukilitoa kinafki litakidhuru.Marehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .