Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwapende jamaa zenu Wayahudi😅
Unachosema ni kweli kabisa,wayahudi wangekuwa wanyonge na wazembe siku nyingi wangekuwa wameshafutiliwa mbali.Mzozo wa waarabu na wayahudi lazima dini iingie.Wakrsto watawatetea wayahudi na waislamu watawatetea waarabu wa palestina.Kwa kifupi wayahudi wangekua wanyonge wangeuliwa wote sababu waarabu na dini ya kiislamu ambayo waarabu wengi ni waumini katika mafundisho yao wana chuki ya waziwazi kwa wayahudi.Lakini ukweli ni kwamba ukitaja haki za waarabu wa palestina lazima pia utaje haki za wayahudi wa uyahudini.Usiegemee upande mmoja
Basi kwa mtizamo huo kuna mungu wawili yaani mungu wa wakristo na mungu wa waislamu maana inaonesha wanabifu kubwa mno.Wewe si mkristo mkuu.Wao wakristo wanaamini kupitia biblia wayahudi ni taifa lililobarikiwa na mungu wao YEHOVA.Lakini ukiwa muislamu nakuelewa kaka sababu mungu wao ALLAH kupitia quran amewalaani wayahudi.
Ukiwa mnyonge dunia hii huna chako broUnachosema ni kweli kabisa,wayahudi wangekuwa wanyonge na wazembe siku nyingi wangekuwa wameshafutiliwa mbali.
Yeah kuna mungu wengi sana maana hata wahindu na wachina kila mmoja ana mungu wake piaBasi kwa mtizamo huo kuna mungu wawili yaani mungu wa wakristo na mungu wa waislamu maana inaonesha wanabifu kubwa mno.
Upo sahii mkuu kwa mujibu wa Quran tukufu na Mungu ALLAH ni taifa laanifu.Lakini kwa mujibu wa biblia na torati na Mungu YEHOVA ni taifa lililobarikiwa
Ntawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.Sidhani mkuu kama wewe ni mkristo na umeisoma hiyo biblia yao.Term unayotumia ya kuwaita wayahudi"MAYAHUDI""ni neno la chuki linalotumiwa kuwataja wayahudi,na wao wakristo hawalitumiagi,bali linatumiwa sana na waislamu.Ukitaka kujua neno hilo baya,ebu jaribu kutamka MAARABU au MAZUNGU au MASWAHILI au MABANTU au MAAFRIKA au MACHINA au MAHINDI na ect......Nadhani umeshanielewa mkuu.
Watafute hao wakristo wakujuze historia ya huyo muyahudi YESU unaesema aliuawa bila hatia.Kuhusu ubaguzi hata hao waarabu wa palestina wanabagua kila kabila hasa watu weusi kama mbwa.Au hujawahi kukaa na waarabu wa palestina mkuu???Nenda Gaza au Ramalah kakae kidogo mkuuNtawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.
Ukiwa muislamu mungu Allah amekataza kushirikiana na wayahudi sababu wamelaaniwa kwa mujibu wa Qur'an.Lakini ukiwa mkristo mungu Yehova amewabariki wayahudi kwa mujibu wa Torati.Umeona tofauti mkuuNtawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.
Kawabariki saa ngapi? waliukataa ufalme, tukapewa watu wa mataifa, sisi tuliobatizwa ndio Israel mpya ndio waisrael sasa kama hujui, hayo mayahudi ni mahuni tu.Ukiwa muislamu mungu Allah amekataza kushirikiana na wayahudi sababu,wamelaaniwa.Lakini ukiwa mkristo mungu Yehova amewabariki wayahudi.Umeona tofauti mkuu
Mungu gani huyoGod bless Israel...
Acha waendelee kupunguzana sisi tuangalie ya Kongo mkuuHabari
Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia.
Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa na wapenda Haki wote.
========
![]()
Pompeo says Israel has biblical claim to Palestine and is ‘not an occupying nation’
Trump’s secretary of state makes comments on podcast to defend former administration siding more openly with Israelwww.theguardian.com
Tehe teheKawabariki saa ngapi? waliukataa ufalme, tukapewa watu wa mataifa, sisi tuliobatizwa ndio Israel mpya ndio waisrael sasa kama hujui, hayo mayahudi ni mahuni tu.
Labda ishinde njaaPalestine itashinda tu
Ukishaona unawaita MAyahudi badala ya WAyahudi, tayari tunajua ni mvaa kobazi.Nimeisoma vizuri sana na kuelewa, mayahudi ni maharamia tu. Wakristo wote tunafahamu, except wakristo wa michongo, waprotestanti.
Ndio maana nikakuambia haujui biblia watafute hao wakrsto wakwambie kuhusu YEHOVA na wayahudi.Afu hao wakrsto hawanaga neno"Mayahudi" hili ni neno linalotumiwa na waumini wa dini nyingine sio wakristo.So watafute hao wakristo watakujibu vizuri mkuuKawabariki saa ngapi? waliukataa ufalme, tukapewa watu wa mataifa, sisi tuliobatizwa ndio Israel mpya ndio waisrael sasa kama hujui, hayo mayahudi ni mahuni tu.
Wakrsto hawanaga maneno kama,mayahudi au maarabu au maswahili au mazungu au maafrika.Upo sahii mkuuUkishaona unawaita MAyahudi badala ya WAyahudi, tayari tunajua ni mvaa kobazi.
Wewe sio Mkristo.
Anaitwa YEHOVA na sio ALLAH.Kila dini ina mungu wake mkuuMungu gani huyo
Wakristo gani niwatafute? Maana wakristo halisi ni wakatoliki. Hao wengine mapalapala wakujiropokea na kujitafsiria bibilia, nasemaje mayahudi hawafai. Kanisa lenyewe limewavumilia sana lakini hawafai.Ndio maana nikakuambia haujui biblia watafute hao wakrsto wakwambie kuhusu YEHOVA na wayahudi.Afu hao wakrsto hawanaga neno"Mayahudi" hili ni neno linalotumiwa na waumini wa dini nyingine sio wakristo.So watafute hao wakristo watakujibu vizuri mkuu