Pompeo: Israel Haifanyi Uvamizi kwa Wapalestina bali Inatekeleza Maandiko ya Biblia

Pompeo: Israel Haifanyi Uvamizi kwa Wapalestina bali Inatekeleza Maandiko ya Biblia

Mzozo wa waarabu na wayahudi lazima dini iingie.Wakrsto watawatetea wayahudi na waislamu watawatetea waarabu wa palestina.Kwa kifupi wayahudi wangekua wanyonge wangeuliwa wote sababu waarabu na dini ya kiislamu ambayo waarabu wengi ni waumini katika mafundisho yao wana chuki ya waziwazi kwa wayahudi.Lakini ukweli ni kwamba ukitaja haki za waarabu wa palestina lazima pia utaje haki za wayahudi wa uyahudini.Usiegemee upande mmoja
Unachosema ni kweli kabisa,wayahudi wangekuwa wanyonge na wazembe siku nyingi wangekuwa wameshafutiliwa mbali.
 
Wewe si mkristo mkuu.Wao wakristo wanaamini kupitia biblia wayahudi ni taifa lililobarikiwa na mungu wao YEHOVA.Lakini ukiwa muislamu nakuelewa kaka sababu mungu wao ALLAH kupitia quran amewalaani wayahudi.
Basi kwa mtizamo huo kuna mungu wawili yaani mungu wa wakristo na mungu wa waislamu maana inaonesha wanabifu kubwa mno.
 
Sidhani mkuu kama wewe ni mkristo na umeisoma hiyo biblia yao.Term unayotumia ya kuwaita wayahudi"MAYAHUDI""ni neno la chuki linalotumiwa kuwataja wayahudi,na wao wakristo hawalitumiagi,bali linatumiwa sana na waislamu.Ukitaka kujua neno hilo baya,ebu jaribu kutamka MAARABU au MAZUNGU au MASWAHILI au MABANTU au MAAFRIKA au MACHINA au MAHINDI na ect......Nadhani umeshanielewa mkuu.
Ntawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.
 
Ntawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.
Watafute hao wakristo wakujuze historia ya huyo muyahudi YESU unaesema aliuawa bila hatia.Kuhusu ubaguzi hata hao waarabu wa palestina wanabagua kila kabila hasa watu weusi kama mbwa.Au hujawahi kukaa na waarabu wa palestina mkuu???Nenda Gaza au Ramalah kakae kidogo mkuu
 
Ntawapendaje watu waliomuua bila hatia Yesu? wanaouua wapalestina bila huruma, wanabagua kila kabila, wanabagua watu weusi kama mbwa? Yani nijikute tu nawaheshimu? maharamia hao.
Ukiwa muislamu mungu Allah amekataza kushirikiana na wayahudi sababu wamelaaniwa kwa mujibu wa Qur'an.Lakini ukiwa mkristo mungu Yehova amewabariki wayahudi kwa mujibu wa Torati.Umeona tofauti mkuu
 
Ukiwa muislamu mungu Allah amekataza kushirikiana na wayahudi sababu,wamelaaniwa.Lakini ukiwa mkristo mungu Yehova amewabariki wayahudi.Umeona tofauti mkuu
Kawabariki saa ngapi? waliukataa ufalme, tukapewa watu wa mataifa, sisi tuliobatizwa ndio Israel mpya ndio waisrael sasa kama hujui, hayo mayahudi ni mahuni tu.
 
Habari

Hivi ndivyo Wazungu wanahalalisha Israel kuendeleza Uvamizi wa Ardhi ya Wapalestina Kwa visingizio vya Imani na maandishi ya kwenye Biblia.

Kauli kama hizi za kina Pompeo ni za kulaaniwa na wapenda Haki wote.

========

Acha waendelee kupunguzana sisi tuangalie ya Kongo mkuu
 
Kawabariki saa ngapi? waliukataa ufalme, tukapewa watu wa mataifa, sisi tuliobatizwa ndio Israel mpya ndio waisrael sasa kama hujui, hayo mayahudi ni mahuni tu.
Ndio maana nikakuambia haujui biblia watafute hao wakrsto wakwambie kuhusu YEHOVA na wayahudi.Afu hao wakrsto hawanaga neno"Mayahudi" hili ni neno linalotumiwa na waumini wa dini nyingine sio wakristo.So watafute hao wakristo watakujibu vizuri mkuu
 
Wakristo gani niwatafute? Maana wakristo halisi ni wakatoliki. Hao wengine mapalapala wakujiropokea na kujitafsiria bibilia, nasemaje mayahudi hawafai. Kanisa lenyewe limewavumilia sana lakini hawafai.
 
Back
Top Bottom