Sasa kama alikuwa gaidi na akanyimwa dhamana na Serikali hii imeshindikana nini kumfunga?Hao walioachiwa huru yafaa walipwe maana wamekaa ndani huku wakiwa hawana makosa.Muda si mrefu Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imemhukumu shehe Ponda kifungo cha Miezi kumi na miwili na wenzake wameachiwa huru.
Bawata itakufa kifo cha asili muda si mrefu
Toka tarehe 05 mi mwenzenu nimesahau hata jina la nchi yangu. Sijielewi sijui nipo Somalia
Maydei maydei .................Satelite ilipoteza signal kdg mkuu ila upo bng kwa ss!
Wamemhurumia sana huyo, wangempiga hata miaka miwili jela. Kazidi kutuvurugia amani. Kifungo cha nje ni sawa na kutokumfunga tu.
injustice......................................
Roho, akili, mwili hadi maneno ni ushetani mtupuAarghhhhhhhh!!!!!
Mbona wamempendelea hivyo!!!!
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai
akili shetani roho shetani na maneno ya kisheta-ndiyo maana kwa ushetani huu mnaua watu kwa mabomu-jambazi wa kilimanjaro weeee.sibora angeendelea kuwa mahabusu kwa miezi sita kuliko kumtoa kwa kifungo cha mwaka nje!
Mali zilizoharibiwa na wafuasi wake nani atalipa?
Toka tarehe 05 mi mwenzenu nimesahau hata jina la nchi yangu. Sijielewi sijui nipo Somalia
Maydei maydei .................Satelite ilipoteza signal kdg mkuu ila upo bng kwa ss!
Ahsante kwa kunikumbusha. Kidogo naanza kurecover aisee.