Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,089
Sasa kama alikuwa gaidi na akanyimwa dhamana na Serikali hii imeshindikana nini kumfunga?Hao walioachiwa huru yafaa walipwe maana wamekaa ndani huku wakiwa hawana makosa.Muda si mrefu Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imemhukumu shehe Ponda kifungo cha Miezi kumi na miwili na wenzake wameachiwa huru.