Ha haa! maoni mengi humu yamenifurahisha,ila cha msingi ni ponda kuwa mpole maana hivi sasa serikali ina hasira na issue za ugaidi,akileta tena kelele watamkamata na atapotea moja kwa moja.
Mimi nimetoa situation ya rushwa kwenye nchi yetu, kuwa mahakama nazo zipo kwenye top list. Hayo maelezo mengine mimi sihusiki!kama unataka details fanya uchunguzi mwenyeweKWa hiyo unataka kutuambia hata RWakatare jana aliachiwa kwa Rushwa? Kesi za kina Lema pia huwa wanapokea Rushwa ? hivi hii nchi inakwenda wapi? Rwakatare amekamatwa na CD zipo mmebadili na kusema ni software, ila kina Ponda wanastahili chuki ya udnini itawamaliza nyie na wakuu wenu, nimeshangaa sana jana kuona Pengo akitoa siri kuwa dharuba ile ya Arusha sio ya kidini lakini anatafuna maneno , kwanini asiseme ukweli anaojua? nimrule out kuwa anapenda chuki za kidini ziendelee, simply angetoa huo ukweli aloambiwa na mtu alompigia simu lakini akaishia tu kusema si shambulio la kidini hii nchi tunapokwenda sipo kabisa ! nadhani wachocezi wakubwa ni hawa hawa viongozi wa kidini !
hicho kifungo cha nje alichopewa ni kibaya sana ila wanashindwa kuelewa tu! Am sure hilo linaweza likawa tego!Kwani kwa mwaka huo wa kifungo anatakiwa àwe mtulivu sana!
vinginevyo inakula kwake hivi hivi!
ila adhabu ni lazima atumikie, kudeki,kufyeka nyasi,kufyagia ofice za serikali
Toka tarehe 05 mi mwenzenu nimesahau hata jina la nchi yangu. Sijielewi sijui nipo Somalia au....[/pole sana unapaswa kurejea katika hali yako ya kawaida ili Utambue kabisa kuwa upo wapi kwa sasa na nchi yako ni ipi kati ya Somaria na Tanzania kwa maana Tanzania bado ipo moja na Somaria nayo ni moja.]
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru
..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai
leo makahaka kuu ya kisutu imemuachia shekh issa ponda
kwa madai yake ya msingi kuhusiana na kiwanja cha waislamu chang'ombe kuuzwa na taasisi ya bakwata(ccm b),alifunguliwa mashtaka ya uchochezi, wizi, kuvamia eneo la watu, na kutokana na mashtaka hayo alinyimwa dhamana kwa kipindi chote hiki, leo kaachiwa, suali langu kwa wanasheria humu,
je, kuachiwa kwake kunamaanisha madai yake kwa kiwanja cha chang'ombe ni sahihi?
Km ni hivyo,je waislamu wanaweza kufungua mashtaka ya kudai kiwanja chao kutoka kwa bakwata(taasisi ambayo ccm na serikaliyake wanaitumia kisiasa zaidi kuliko dinni,na kufanywa wanaharakati waonekane wakorofi kwa kuipinga bawkata).
Je. Ponda naeza kuifungilia mashtaka serikali kwa kumuweka ndani pasina kosa?
Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo
a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi.
b) hatotakiwa kujihusisha na jambo lolote la uvunjifu wa sheria, akithubutu tu kifungo kinabadilika nakuwa cha ndani, kwahiyo yale mambo yakuongoza maandamano yasiyo na kibari ndiyo asahau tena,
b)atatakiwa kuonyesha kwamba tabia yake inabadirika na kuwa raia mwema
mkomatembo i suport u % dis 4rum is full occupied of muslim haters (chuki zao dhidi ya uislam ni kubwa kuliko waliyoyaficha ndani ya vifua vyao),,wether dey like or not bt islam will stand strong all over da world n guides da universe
Aarghhhhhhhh!!!!!
Mbona wamempendelea hivyo!!!!