Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Acha ujuaji kwani Kuna siku alishaingia kanisani na kombati? Au alisha lishirikisha jeshi kwenye mambo ya kanisa? Yeye ni mkatoliki kama Samia alivyo Muislamu
Angeingia kanisani na kombati ndiyo ingekuwaje?

Mbona watu wanaingia makanisani na mavazi ya kijeshi kila siku.

What kind of birdbrained thinking is this?
 
Hata kama kweli mengi ayafanyayo anafanya nje ya camera lakini hiko kitabu jina la mwandishi ni zaidi ya camera.
Ila yote kwa yote apongezwe kwa mema na yenye changamoto asahihishwe.
 
Kachanganyaje dini na kazi hapo?

Kalazimisha subordinates wake wakinunue hicho kitabu chake?
Kaweka cheo chake cha kikazi kwenye cover la kitabu cha dini.

Pia ni ulimbukeni fulani kuweka Ujenerali kama jina lako kwenye kitabu cha kidini.
 
Angeingia kanisani na kombati ndiyo ingekuwaje?

Mbona watu wanaingia makanisani na mavazi ya kijeshi kila siku.

What kind of birdbrained thinking is this?
Kwahiyo ukiandika kiingereza ndiyo inakuwa Hoja yenye nguvu?
 
Haujajibu swali naona unazunguka zunguka nikuwekee biography za mark milley , Benjamin netanyau na wakuu wengine wa majeshi?
Je huyu wa kwetu ameenda shule?
 
Kwahiyo ukiandika kiingereza ndiyo inakuwa Hoja yenye nguvu?
Hapana, ni wewe unajishuku tu kwa inferiority complex yako.

Umekimbia kujibu habari ya kombati, umejificha nyuma ya kuogopa Kiingereza.
 
Namjua mnadhimu Mkuu wa majeshi Mathew Mkingule ni mnyenyekevu kuliko maelezo. Kijamii anajihusisha na watu wa hali ya kawaida na bila kuambiwa huwezi kuamini kama ana cheo kikubwa kiasi hicho. Mungu azidi kutujalia viongozi wengi wa aina hii
 
Kaweka cheo chake cha kikazi kwenye cover la kitabu cha dini.

Pia ni ulimbukeni fulani kuweka Ujenerali kama jina lako kwenye kitabu cha kidini.
Huyo ni General mpaka anakufa atabaki kuwa General,huyo sio bwana, daktari,profesa au mchungaji, yeye ni General tena wa halali,POPOTE anapojitambulisha hilo neno General lazima liwemo maana ni HAKI yake.
 
Nje ya kazi zake, hicho cheo siyo lazima akiweke.

Au kuna sheria inayolazimisha hivyo?
 
That which is not forbidden is permitted.

However, context is everything.

Sioni kosa la Jenerali hapo.

Unless ni kosa tu katika maadili na miiko yako wewe binafsi, ambayo kimsingi, ni yanakuwa maoni yako tu.
The principle of separation of religion and state in a non religious state would forbid the callous parading and basic pimping of a non religious military rank in a religious book.

Separation of religion and state must not only be done, it must also appear to be done.
 
Where is it forbidden? Where is it written that it is forbidden?
 
Huyo ni General mpaka anakufa atabaki kuwa General,huyo sio bwana, daktari,profesa au mchungaji, yeye ni General tena wa halali,POPOTE anapojitambulisha hilo neno General lazima liwemo maana ni HAKI yake.
Mimi najadili hoja ya separation of religion and state.

Wewe unaandika hagiography.

Hii ndiyo tofauti yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…