Pongezi kwa Serikali ya awamu ya tano kudhibiti siasa za harakati zilizokuwa zinachelewesha maendeleo

Kama huoni yaliyofanyika leo basi huwezi kuona tena.
Maendeleo gani?

Miaka 60 ya uhuru mnajenga madaraja halafu mnajisifu, madaraja?

Ccm hata mkipewa miaka 900 hakuna kitu chochote cha maana mtafanya.

Miaka 60 ya uhuru zaidi ya 80% ya watanzania ni fukara wa kutupwa, hayo maendeleo ni yapi?
 
Unajitoa ufahamu? Umesahau mlivyopinga ujenzi wa bwawa la JNHP kwa kisingizo cha kulinda mazingira,huku mkijifanya kueneza uongo kuwa mazingira ya Selous game reserve ni muhimu kuliko umeme!
Unaposema "mlivyopinga" unanilundika mimi na nani?

Wapi mimi nimepinga ujenzi wa bwawa?

Nani kapinga bwawa? Kwa maneno gani? Kwa muktadha gani?

Weka detail hapa usibwabwaje ovyo kama mtu ambaye anaongea maneno ya kijiweni aliyoyaokoteza tu bila hata yeye mwenyewe kuelewa anaongelea nini.
 
Wamezuia harakati mwisho wamepata madarasa ya kutosha hadi yana baki ya akiba! Uchumi wa kati na bei ya mafuta ya kupikia kuwa lulu! Basi 5 zaidi hata milele au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kaa kimya.
 
Hawa ni watu wa kutoka Chato wanaofaidi utawala wa JIWE!!
Mimi ni mchimbaji mdogo wa dhahabu,nipo Segese kahama. Sina ukaribu kabisa na huu utawala,bali huwa napenda kusema kweli.
 
Huna uwezo wa kutetea hoja zako mufilisi, sasa unataka kunyamazisha watu kwa nguvu.

Huna uwezo wa kuninyamazisha hapa.

Wwewe ni mtu uliye mufilisi wa mawazo, ndiyo maana unatetea uvunjwaji wa katiba ya nchi.
Hakuna mahala katiba ya JMT imevunjwa. Umeuliza ni kipi mlikuwa mnapinga ili tusipate maendeleo nimekuambia,sasa unaleta kashfa.kama huna hoja kaa kimya.
 
Hakuna mahala katiba ya JMT imevunjwa. Umeuliza ni kipi mlikuwa mnapinga ili tusipate maendeleo nimekuambia,sasa unaleta kashfa.kama huna hoja kaa kimya.
Hujaniambia kitu, umeleta propaganda mfu ambazo wewe ulisema unazipinga.

Hujatoa jina la nani kapinga, hujatoa chapisho lililochapisha, hujatoa mamneno halisi yaliyotumika.

Umepiga hadithi tu.Hadithi ambayo hata haiwezi kujadilika.

Kwa sababu haina fact, ina speculation tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…