Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Subiri ikuhusu ndo utajua inahusika vipi. Swali unalouliza hata LUGOLA amulitumia sana.Inahusika vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri ikuhusu ndo utajua inahusika vipi. Swali unalouliza hata LUGOLA amulitumia sana.Inahusika vipi?
Maendeleo gani?Kama huoni yaliyofanyika leo basi huwezi kuona tena.
Unaposema "mlivyopinga" unanilundika mimi na nani?Unajitoa ufahamu? Umesahau mlivyopinga ujenzi wa bwawa la JNHP kwa kisingizo cha kulinda mazingira,huku mkijifanya kueneza uongo kuwa mazingira ya Selous game reserve ni muhimu kuliko umeme!
Acha unafiki shida yako unaangalia maslahi yako zaidi ya uhalisia.
Kaa kimya.Unaposema "mlivyopinga" unanilundika mimi na nani?
Wapi mimi nimepinga ujenzi wa bwawa?
Nani kapinga bwawa? Kwa maneno gani? Kwa muktadha gani?
Weka detail hapa usibwabwaje ovyo kama mtu ambaye anaongea maneno ya kijiweni aliyoyaokoteza tu bila hata yeye mwenyewe kuelewa anaongelea nini.
Mimi ni mchimbaji mdogo wa dhahabu,nipo Segese kahama. Sina ukaribu kabisa na huu utawala,bali huwa napenda kusema kweli.Hawa ni watu wa kutoka Chato wanaofaidi utawala wa JIWE!!
Huna uwezo wa kutetea hoja zako mufilisi, sasa unataka kunyamazisha watu kwa nguvu.Kaa kimya.
Hakuna mahala katiba ya JMT imevunjwa. Umeuliza ni kipi mlikuwa mnapinga ili tusipate maendeleo nimekuambia,sasa unaleta kashfa.kama huna hoja kaa kimya.Huna uwezo wa kutetea hoja zako mufilisi, sasa unataka kunyamazisha watu kwa nguvu.
Huna uwezo wa kuninyamazisha hapa.
Wwewe ni mtu uliye mufilisi wa mawazo, ndiyo maana unatetea uvunjwaji wa katiba ya nchi.
Wewe cha kukariri mikatuni ya bwana zako mabeberu.Hii ndiyo inaitwa kuzuia siasa za uanaharakati zinazochelewesha maendeleo!🚶🚶🚶
View attachment 1679974
Kama unaelewa mada yako uliyoleta hapa jukwaani basi mnyamazishe kwa hoja na siyo kwa vitisho,tofauti na hapo hujui na wala huna uhakika na ulicholeta hapa jukwaani!Kaa kimya.
Hujaniambia kitu, umeleta propaganda mfu ambazo wewe ulisema unazipinga.Hakuna mahala katiba ya JMT imevunjwa. Umeuliza ni kipi mlikuwa mnapinga ili tusipate maendeleo nimekuambia,sasa unaleta kashfa.kama huna hoja kaa kimya.
Ameshakula za uso,ametulia.Kama unaelewa mada yako uliyoleta hapa jukwaani basi mnyamazishe kwa hoja na siyo kwa vitisho,tofauti na hapo hujui na wala huna uhakika na ulicholeta hapa jukwaani!
Hoja hawezi, vitisho ndiyo kabisaa asijaribu.Kama unaelewa mada yako uliyoleta hapa jukwaani basi mnyamazishe kwa hoja na siyo kwa vitisho,tofauti na hapo hujui na wala huna uhakika na ulicholeta hapa jukwaani!
Kutukana kwenye mijadala ndiyo propaganda hai?Wewe cha kukariri mikatuni ya bwana zako mabeberu.
Kaa kimya mburula wewe.Hujaniambia kitu, umeleta propaganda mfu ambazo wewe ulisema unazipinga..
Do not flatter yourself you spineless sea urchin.Ameshakula za uso,ametulia.
Unatupia upuuzi wa mabeberu badala ya kujadili hoja mezani?Kutukana kwenye mijadala ndiyo propaganda hai?
Ni kwamba siasa za kishamba zilizokuwa zinachelesha maendeleo zimedhibitiwa.Do not flatter yourself you spineless sea urchin.
You do not posses the requisite wattage to engage me.