Pongezi kwake Mange Kimambi

Ni kweli anastahili pongezi nyingi sana dada lao. If you cannot sing, then at least clap your hands to those who can.
 
Huyu mange angekua hapost picha zake ma familia ningehisi ni taasisi,,,anajiamini na nini???

Ila anasaidia Sana
 
Yesu aliwahi kumwambia Petro, rudi nyuma shetani!!!

Nami nakwambia rudi nyuma shetani!
 
Pale mtu unapotokwa povu huku ukitamani hiyo michango ungechangiwa wewe.
 
Huyu naona kajitafutia ukimbizi akitua tu Airport wanaanza kuyararua marinda hapo hapo Airport
 
Ivi mwenye ushaish mkubwa umu Jf nan ili tuweke mpngo wa watu pia umu kudonate bukubuku kwa account yangu hahhaha[emoji87] [emoji85]
 
Rais ndo kioo cha nchi lkn kakataa kuitangaza nchi. Kazi yake ni km kuluta yaani yupo tu nchini anasimamia miradi binafis km ujenzi wa chato na ununuzi wa bomberdier......NYIE NGOMBE MWACHENI MANGE KWANI HAMFIKII HATA ROBO YA AKILI NA UZALENDO WAKE MAANA NYIE MACCM NDO MAWAKla na MMEIUZA NCHI kwa mabepari na mafisadi
 
Pale mtu unapotokwa povu huku ukitamani hiyo michango ungechangiwa wewe.
Serikali imeamua inamtibu imeshagundua mnatapeliwa wadanganyika wakubwa nyie,kama umechangia umeliwa.Unahangaika kuchanga kijijini kwenu huaenda miaka 12 unawapa watu pesa waende Nairobi.Boya wewe.
 
Aliiba kura ,ni mkora siyo rais!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…