Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Ni kweli aisee, binafsi pia nimependa ni mfano wa kuigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange kiboko ya Bashite na Le Mutuz
Yesu aliwahi kumwambia Petro, rudi nyuma shetani!!!Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
Tulia baby yusuphsjaona cha ajabu na chamaana anachofanya hyu m2 had kumsifu ivo
Fact ni wewe inabidi umtaje Mange ku boost ratings zako.Watanzania wameshakustukia una kiss the devils ass hili uendelee kuishi mjini- hahahahahaha super funny!, kwa lipi hasa? hahahahahahha
le Mutuz
Pale mtu unapotokwa povu huku ukitamani hiyo michango ungechangiwa wewe.Hakuna mahali niliposema msichange,swali unalolikwepa wewe mtu wa NY ni hili hapa.
Je hiyo pesa itafika kwa mgonjwa?je itatumika kwa matibabu yake tu?change inayobaki inaenda wapi?Nani atakayehifadhi hiyo balance?we are talking about big money.Mwana NY piga mahesabu watu milioni 5 wakitoa buku buku ni shilling ngapi?Natoa tu tahadhari kuna mtu kaona dili hapa shauri yako.Watu wametupiwa vitu nje au umesahau?
Wille nakukubali sana ila nikiambiwa nichague mwenye akili kubwa kati yako na Mange, nitamchagua dadake Mkuu wa mkoa Mange- hahahahahaha super funny!, kwa lipi hasa? hahahahahahha
le Mutuz
Rais ndo kioo cha nchi lkn kakataa kuitangaza nchi. Kazi yake ni km kuluta yaani yupo tu nchini anasimamia miradi binafis km ujenzi wa chato na ununuzi wa bomberdier......NYIE NGOMBE MWACHENI MANGE KWANI HAMFIKII HATA ROBO YA AKILI NA UZALENDO WAKE MAANA NYIE MACCM NDO MAWAKla na MMEIUZA NCHI kwa mabepari na mafisadiIli akamilishe hizo ' Sifa ' zako zote ulizompa hapo inambidi pia awe ' Mzalendo ' wa kweli kwa nchi yake ya Tanzania kwa kuitangaza vyema pia huko huko alipo na siyo ' kutegea ' tu mambo ' negative ' yanayotokea huku ' Bongo Land ' kisha anayatumia kwa ' maslahi ' yake ya Kiharakati na Kisiasa CHADEMA zaidi.
Yes ni ' Mwerevu ' na ni mfano mzuri wa ' Kuigwa ' hasa kwa Watu wanaopenda kufikiri outside the box ila ana mapungufu ya Kimsingi ya kutokuwa Mzalendo, Mvumilivu, hana Staha na amewekeza sana kwa kupenda kuwa emotional hata katika mambo ambayo hayahitaji nguvu au akili nyingi kuyakabili.
Mwisho mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni na kama kawaida yangu sijaumbwa kuwa ' Mnafiki ' na huwa ' nanyooshaga ' tu maelezo ni kwamba pamoja na hayo ' mapungufu ' yake ila Mange Kimambi amesaidia sana kuwafanya ' Watendaji ' wengi kuwa makini na 'Utendaji ' wao, amesaidia kuwafanya Watanzania wawe na uwezo wa Kuhoji, Kutathmini na Kuchambua mambo kwa mapana yake lakini pia amesaidia kutufanya Sisi wana Jamii tuishi kwa nidhamu na uangalifu mkubwa ili tusije kuharibu ' Heshima ' zetu katika Jamii.
Mtazamo wangu Kwake ni kwamba Mange Kimambi ana faida nyingi kuliko hasara na ni ' mtaji ' mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji ' maendeleo ' hasa yanayoanzia katika ' Fikra ' na kwenda katika ' Utekelezaji ' na kama akitumika kama ngazi ya kuipeleka Tanzania katika ' mafanikio ' itapendeza mno kuliko kuonekana kama ' adui ' namba moja wa nchi / taifa / Serikali.
Yangu ni hayo tu Mkuu.
Nami nakuambia nenda mbele Yuda.Yesu aliwahi kumwambia Petro, rudi nyuma shetani!!!
Nami nakwambia rudi nyuma shetani!
Serikali imeamua inamtibu imeshagundua mnatapeliwa wadanganyika wakubwa nyie,kama umechangia umeliwa.Unahangaika kuchanga kijijini kwenu huaenda miaka 12 unawapa watu pesa waende Nairobi.Boya wewe.Pale mtu unapotokwa povu huku ukitamani hiyo michango ungechangiwa wewe.
Aliiba kura ,ni mkora siyo rais!!!!!Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.