Pongezi kwake Mange Kimambi

Pongezi kwake Mange Kimambi

Hakuna mahali niliposema msichange,swali unalolikwepa wewe mtu wa NY ni hili hapa.
Je hiyo pesa itafika kwa mgonjwa?je itatumika kwa matibabu yake tu?change inayobaki inaenda wapi?Nani atakayehifadhi hiyo balance?we are talking about big money.Mwana NY piga mahesabu watu milioni 5 wakitoa buku buku ni shilling ngapi?Natoa tu tahadhari kuna mtu kaona dili hapa shauri yako.Watu wametupiwa vitu nje au umesahau?
Waliopiga risasi zote hizo na kufuatilia kwa wiki kadhaa wamelipwa sh. ngapi? Mbona hujauliza hilo kabla? Tujue gharama ya hao watu wasiojulikana ndo tuanze kuuliza hizi. Pili Hesabu ni kiasi gani cha pesa kingeponyeshwa kama serikali isingezuia watu kutoa damu? Je, hiyo si gharama vile vile? Watu tulichangishwa kwa ajili ya tetemeko, waathirika mpaka sasa wanaishi kwa ndugu na pesa zilienda wapi? Watoto wa Arusha walifariki lambilambi zikachukuliwa je mliuliza ni kiasi gani na zilifanya nini kwa wafiwa?
 
Wewe yako umeyaweza? Kwani anayoongea kuhusu Diamond ni uongo? Aliongea la mtoto wa Hamisa na kweli leo kamkubali, pia aliongea la Diamond kutoka na Dillish wa bigbrother amekanusha Leo lakini badae itafahamika tu
Unajua Mara nyingi anaongelea kuhusu future Leo utamponda lakini kesho yatatokea yote aliyosema tena by true Evidence.
 
Ukitaka kuchanga we Changa ukifikiria Negative kila siku hautaweza kupiga hatua ata kwenye maendeleo yako.
Me nimeamua sichagi mpaka nijue nani anayekabidhiwa hizi pesa,tumlete hapa jukwaani tuanzishe uzi wakujadili maisha yake ya kabla na utaunzaji wake wa fedha kabla hutajampa hizi tunazochanga!
Waliopiga risasi zote hizo na kufuatilia kwa wiki kadhaa wamelipwa sh. ngapi? Mbona hujauliza hilo kabla? Tujue gharama ya hao watu wasiojulikana ndo tuanze kuuliza hizi. Pili Hesabu ni kiasi gani cha pesa kingeponyeshwa kama serikali isingezuia watu kutoa damu? Je, hiyo si gharama vile vile? Watu tulichangishwa kwa ajili ya tetemeko, waathirika mpaka sasa wanaishi kwa ndugu na pesa zilienda wapi? Watoto wa Arusha walifariki lambilambi zikachukuliwa je mliuliza ni kiasi gani na zilifanya nini kwa wafiwa?
Ndio mana nahoji kabla hatujachanga.Hao unaosema walifuatilia na kupiga risasi pia waliomba michango humu?kama waliomba samahani sikuona huo uzi mkuu.
 
Huyu dada ana roho mbaya kama sura yake ilivyo, mdomo mchafu kama kinyeo yaan mm simpendi
 
Sijachanga bado na nilijisikia vibaya kutuma Tsh. 1,500/-, nilitaka walau nitume 25,000/- lakini hali ikiendelea kubana hivi itabidi nitume chochote kilichopo ili kisaidie mapema. Kikubwa kabisa ni sala zangu zisizokoma kwa mpendwa huyu.
 
Mkuu chochote kitu kinatosha
 
Mimi pia nilikuwa simfuatilii kabisa lakini ujasiri wake wa kupambana na huyu dhalimu na Serikali yake ya kidhalimu umenivutia sana kwa huyu bidada japo mambo yake mengine siyafagilii. Mungu ampe afya njema na maisha marefu.
 
Vipi mkuu Roho mbaya yake iko wapi ameshawahi kukuibia ,kukukaba au kukunyima msaada ulipomuomba au ni husda tu ya Roho yako.
Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.
 
Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
Kwani hata zikichangwa zikavuka lengo unadhani kitaharibika nini?

Au umeanza kuwashwa washwa?
 
Me nimeamua sichagi mpaka nijue nani anayekabidhiwa hizi pesa,tumlete hapa jukwaani tuanzishe uzi wakujadili maisha yake ya kabla na utaunzaji wake wa fedha kabla hutajampa hizi tunazochanga!

Ndio mana nahoji kabla hatujachanga.Hao unaosema walifuatilia na kupiga risasi pia waliomba michango humu?kama waliomba samahani sikuona huo uzi mkuu.
Your are right but they were funded by invisible body. Je huyo anayegharimia hiyo ni nani? Heri yetu tuliwe tunajua haziendi serikalini kama zilivyokwenda za tetemeko kagera na watoto wa Arusha. Sick.
 
Back
Top Bottom